Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Uongo kivipi? Is he you? , Is you he?Hatutaki Uongo anaojifanya ni ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo kivipi? Is he you? , Is you he?Hatutaki Uongo anaojifanya ni ukweli
Haki Tena!!!mpwayungu village nilitegemea utafanya kama wengine wanaoponda uzi. Kukataa kuendeleza story yako unawanyima wengine haki wengine
Haki Tena!!Mkuu unatunyima haki sisi wengine
Acheni kushabikia ujinga nyie.
jitu limemaliza STD VII 1992, mvi hadi matakoni mkeshupalia ujinga tu. Akafie mbele huko.
Ww kwenye mishe zako umeshasev milioni ngapi???tuanzie hapo kwanza....Umechambua vizri ...hata mimi najiuliza inamaana huyu jamaa maisha magumu yalianza tu baada ya kufukuzwa na msela wake really??? Any way Abu atupe highlights ya maisha yake kabla ya kuachana na rafiki yake ..... mbona baada tu ya kuachana na rafiki yake mambo yaliend kombo sana na alikuwa napiga mishe gani mpka akawa na balance ya 20k kabla ya kuuza simu
AsanteWelcome back kitambo hujaonekana
"Imeisha iyoooooo"Kidagaa kafika humu mbn jamaa kakimbia
Nakukubali kidagaa[emoji23][emoji23][emoji23]Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525
Dah ht komenti zenyewe ulibadilisha kabsaAsante
Nimo sana wewe tu ndo ulikuwa hujui jina nililokuwa nikitumia
"If you stop and start throwing stones to every dog that barks at you, you will never reach ur destination. NASEMA HV, ACHANA NA HAO MAPUNGUANI WANAOJIKUTA MUCH KNOW WAKATI HAWANA LOLOTE.Hapana kiongozi acha tu maana humu Kuna watu wanajiona ni mataita wakudadisi nakunya distinction ya kipi cha ukweli na kipi cha uongo basi mm nimewapa fursa hiyo wachunguze ikiwezekana wasafiri hata huko nilikopita. Huu uzi ulikuwa una sehemu mpaka ya 25 na hayo matukio niliyoeleza ni baadhi tu na nichamtoto maana nilitaka kueleza madhira niliyopitia mpaka ningekuja kueleza nimefikaje chuo lakini mtu anadandia treni kwa mbele. Na Leo sio kucheka na kufrahishana Bali nikukupa funzo kuwa Kuna watu wanapitia magumu mpaka shilingi ya kuchota ndogo moja kwa wiki haipati lakini tunapishana nao barabarani na huko mbeleni yaani sehemu ya kumi na tano na sehemu ya kumi na saba ambayo sijaweka humu kutokana na baadhi ya wapuuzi lilah Kuna mtu angetoa machozi kwa misukosuko iliyonipata. Namshukuru mungu ni mzima nawatakia jioni njema
Inaonesha bado kuna ktu cjakijua kuhusu baridiKwani hujawahi fika?......Iringa tu hapo ni baridi why not southern africa?
Ni kweli kabisa, ila lbda jamaa hana kifua cha kutunza maneno 🤔Kuna story iliandikwa na holy holm , pamoja na maneno yote ya matahira wakatisha tamaa but jamaa aliimaliza. Mtoa mada zipo thread mtu hupaswi kusoma au kujibu kila comment lakini zipo unazopaswa kusoma comments zote.
Ukiamua kuandika story au mkasa wako epuka kusoma na kujibu comments.
Duh noma sanaEti lushoto, Arusha na moshi ndo useme Kuna barid Sasa ya kuifananisha na njombe ??
Barid ya njombe ni habar nyingne asee na wilaya inayoongoza kwa baridi ni makete na ndo ulikozid Sana ukimwi
Kwahy hta Kam Kna sababu zingne ila barid nayo inachangia kwa kias kikubwa