Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

 
Sijaona maana ya kuwa na Moderator Jf..mtoa Uzi ameudhiwa,amesemwa vibaya nk..vile vile wachangiaji wanatamkiana maneno yasiyo na staha lakini bado Uzi unaachwa tu.
Kazi kweli.
Mtoa si mtu mgeni na Jf na WaTz kwa ujumla hivyo ni lazima tokea anaanzisha uzi ajiandae kisaikolojia kutokana na mambo kama haya tena humu wanaomkosoa wachache mno wengi wameonyesha sapoti kubwa mpk uzi kufika hapa ulipo hivyo ilimpasa yeye kuwajali wengi wanaomsikiliza na huo ndio uungwana na kwa ninavyojua Jf naona bado hajapata maudhui kabisa

Aliwepo The bold (habibu B Anga )alikuwa anatoe madini hapa Jf kule intelligence watu walimfungulia mpk nyuzi kuwa yeye tapeli anacopy na kupaste hapa kutoka gugo na majarida,mara anajiikuta nk mpk sasa haleti tena vitu hapa anatoa madini kwenye grupu wasap huku akiwachaji watu fedha.
 
wabongo kwa ujuaji, hatutaki wachambuzi kwenye hadithi yetu kwani kama chai au maziwa unapungukiwa au kuongezewa kipi? uongo nao ni kipaji, Mpwayungu vilage yupo vizuri na anaweza.
 
kwa hiyo tufanyeje, toa ushauri au tuhadithie ya kwako ya ukweli
.. kwa hiyo umeona watu wanavyomkubali anafaidi au.
 
Ona sasa huyu mpuuzi katukosesha story kwa upuuzi wake wa kujifanya mjuaji
...yani kuna jitu limedandia sehemu ya 12 likahadithia kama kaka Mpwayungu na mimi nikatiririka nayo nimekuja kugundua kwenye comments. Punguzeni ujuaji jamani na nyie gungueni nyuzi zenu acheni kutafuta umaarufu kwenye nyuzi za watu. Kaka Mpwayungu lete vitu utakuwa hututendei haki tunaokufuatilia bali utawatendea haki wanaokuhudhi sababu ndio lengo lao uache kutusimulia.
 
Bado hii ni stori ya kubuni tu
 
Nimeishi hiyo wilaya nafahamu unachozungumza
 
[emoji23]
 
Mi nafikiri Uzi huu utiwe Tu lock mambo mengine yaendelee ......sidhan kama kuna kinachoendelea hapa tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…