Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

sasa kwa nini yeye atake kuaminisha kuwa ni kweli wakati si kweli?shida ndo ipo hapo tu. hii story inasimuliwa kwenye group yeye anaileta huku akijifanya ni yake
Ila unagubu sana. Angalia comments zako jitafathimin.

Kwani nilazima uaminishe watu kuwa hii ni story ya uongo?

Kila MTU anasoma na anaelewa huna haki ya kushikia bango hata kama si ya kweli. Una ajenda nyingine wewe.
 
Angeacha sehemu ya reg no tu tungejua
 
Una akili sana 👍
 
Out of point
 
Samahani tunaomba vya kwako kama ulichoandika uliandika ukiwa na akili timamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…