mpwayungu village hope umeelewa na utaendelea kutuletea episodes zinazoendelea, ili sisi wanafunzi tuendelee kujifunza..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila unagubu sana. Angalia comments zako jitafathimin.sasa kwa nini yeye atake kuaminisha kuwa ni kweli wakati si kweli?shida ndo ipo hapo tu. hii story inasimuliwa kwenye group yeye anaileta huku akijifanya ni yake
Mwana kasusa 😂😂😂 kawa dhaifu kama bwana jobo 😂Mtu w maana humu ni holy Hom wengine mnadeka kama mademu.
Angeacha sehemu ya reg no tu tungejuaUnaficha ili iweje?? ... km umeamua kuweka wazi weka tujue!! unaficha nani ana shida na licheti la division four failure karibu na zero!......
kufanya ivo unaweza chukua cheti chochote kile ofisini kwako hapo hata kwa rafiki yako au ndg yako hasa km unatoaga photocopy Machines!...si wanakuja wateja wengi tu hapo!....na
kama wangekuwa wanaweza kuiba hivyo vyeti ki ivo basi Watoa photo copy wangekuwa matajiri sana!...umeamua kuonyesha onyesha tuu kila mtu humu anacho tena zaidi ya hicho!! mfyuuuxcvxvzvz!
Una akili sana 👍yaani story za jf huwa zinaanza hivi,
sehemu ya kwamza ni (utumishi) huwa zinashuka haraka haraka sana,zinaweza tengwa na michango miwili miwili ya wasomaji.
sehemu ya pili ni(utegeaji)mleta story anapunguza speed ya kushusha story lakini mi msikivu,akiombwa aendelee anaendelea kwa kutoa sehemu kadhaa kisha anaomba udhuru,wakati huu itaendelea .......huwa ni nyingi.
sehemu ya tatu (udenguaji)mara nyingi hapa story huwa imenoga, hapa sasa story inakatwa ,katwa mnashindwa kujua hatima yenu[emoji16][emoji16],mletamada hajibu michango,akionekana anarusha moja anapotea,au anaweka ahadi ya siku,siku ikifika anaweka episode moja tu analala mbele.
sehemu ya nne(uvunaji )hapa ndipo sasa watu huanza kuitwa telegram kimya kimya,kwenda kuilipia huko sehemu zilizobaki kwa kujinoma.
sehemu ya tano(armagedon)hii huwa ni vita rasmi kati ya waliokuwa wanafatilia kwa umakini na mleta mada,hapa nisitie neno sana,lakini kimsingi mtu asipokuwa makini hakuna silaha itaacha kutumika,maana wananzengo wanakuwa wamemind kweli kweli,si ajabu mleta mada akaunganishiwa ID nyingine ambayo hataki tuijue,na mara nyingi story huwa inaishia hapa maana strong room zote huvunjwa,tutajua hata kama story umeiba sehemu.
NOTE,mods tunaomba mtu akianzisha story na kuishia hewani apigwe ban ya maisha,maana anautumia mtandao huu kutapeli watu.
I am a certified loverboyWewe ni Certified idiot
Out of pointKuna muda yakupasa kutumia kichwa chako kufikiri, Usibebe hicho kichwa juu ya mabega yako kama mzigo, Au sawa na mizigo mingine
Jitahidi uwe unafikiri
Umejaa negativity sana, Try to be positive
Kwa tabia yako hii huwezi Ishi na watu wala ndugu vizuri
100% hukunyonya maziwa ya mzazi kama sheria inavyotaka, Uliwahi kuachishwa mapema kunyonya maziwa ya mzazi hivyo ubongo wako haujajengeka vizuri
Watu aina yako wanahitaji tiba ya kisaikolojia
Samahani tunaomba vya kwako kama ulichoandika uliandika ukiwa na akili timamu?Unaficha ili iweje?? ... km umeamua kuweka wazi weka tujue!! unaficha nani ana shida na licheti la division four failure karibu na zero!......
kufanya ivo unaweza chukua cheti chochote kile ofisini kwako hapo hata kwa rafiki yako au ndg yako hasa km unatoaga photocopy Machines!...si wanakuja wateja wengi tu hapo!....na
kama wangekuwa wanaweza kuiba hivyo vyeti ki ivo basi Watoa photo copy wangekuwa matajiri sana!...umeamua kuonyesha onyesha tuu kila mtu humu anacho tena zaidi ya hicho!! mfyuuuxcvxvzvz!
Hii tabia yawatu kuanzisha stori alafu awazimalizi imekua kero humu,mnafanya atawenye stori za Mana tuwapuzee,