Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Enaseketeshaaaaaaaa, hii ni nondo tupuuuuuuuu,

Unatoka dar unaenda kusaka maisha lindi
Wakati watu wanatoka Lindi kuja Dar, ni uzezeta wa Kiwango cha juu sana, ni mkurupukaji asiyefikiria ndio maana ata story kazira kwa jambo dogo tu

Dar umeshidwa hata kwenda kutembeza maji na soda kule Kariakoo, unaondoka na buku 5 kwa siku, au ukaenda kumenya viazi bar huko wakakupa msosi huku ukitafuta kazi nyingine za maana
 
Kuna wallet ya kahawia niliokota stendi ya Rangitatu ikiwa na pesa isiyozidi 70,000/= nadhani itakuwa ni yako, nitumie namba yaki ya simu nikurushie.
 
huyu jamaa muongo
 
Chai imestukiwa,eti akampiga kichwa kibaka akaona. Nyota nyota ahaaaa
Kwa nini nasema nichai...huwezi kwenda sehemu mara moja ukakariri majina ya shule zote,vijiji jina la walimu,kirahisi kama hujakaa huko jaoo mwezi unless uwe unaaandika sehemu,w ewe umeishi huko kusini na umefundisha huko acha chai bloo
 
Sana asee [emoji28][emoji28][emoji28] Yani majina yte anayataja tena kuwa usahih adi sehem ambazo amefk mar moja hyu itakuwa Lindi kaishi mda mrefu san
 
Sana asee [emoji28][emoji28][emoji28] Yani majina yte anayataja tena kuwa usahih adi sehem ambazo amefk mar moja hyu itakuwa Lindi kaishi mda mrefu san
Huo ndio ukweli,hakunaga kukariri kwa hivyo,huyu ni mwenyeji huko
 
Itabidi utupe hiyo stori siku moja na unitag
 
Eti nka karibishwq na majambazi nika waelezea mkasa mzima .waka nipa na kisu nikate nyama[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]maninaa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…