Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Episode 22 ndio mwisho
Au jamaa utarudi hapa kuweka muendelezo?
 
Imeisha hiyo 🀣🀣🀣
 
Hatari sana
 
Icho kijeba cha kiarabu ni kimwanaume haswa... Kinakula nyagi na fegi bila wasi mbele za bolisi while dealing with crisisπŸ˜…

Unaleta za kuleta kina dili na wewe very smoothly hadi ukaishia kuwa mfano kwa yeyote atakaefikiria kuleta choko choko

Hiyo situation naijua sana. Nimeishakutana nayo mara kibao tu. I feel you bro ha ha ha

Mkasa umekolezwa zaidi na hilo jina KIDAGAA ni balaaa πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€© Mfanyakazi mtiifu kabisa kwa kambale... Waliku-maindi sana kushindwa kuwa understanding, tolerate, and compassionate mpwayungu village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…