Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

So far Mwarabu na Kidagaa ndo character zilizotisha sana kwenye hiki kisa..

Imeisha hiyo
 
So far Mwarabu na Kidagaa ndo character zilizotisha sana kwenye hiki kisa..

Imeisha hiyo
Yaani these two wametisha sana. Its at that point nilicheka loudly kabisa.

Na hawakumuonea. They were just being men and maintaining this title at time of test.

Pole sana mpwayungu village apo ndo baadae uliona the wisdom ya "FIKIRI KABLA YA KUFANYA 'MAUJINGA' "
 
well said genious.
 
Hatari sana
 
Miujiza ni Mingi,,2012 nipo Mkoani huko nipo Tee vibayaa sana mfukoni sina hata dala,,nawaza napigaje simu home kumpiga sound nitumiwe pesa, hata elfu 10,mara nasikia Mlio kwenye ki nokia Changu cha tochi(colour screan) naona imethibitishwa umepokea elfu 58,sikuwa na ahadi yeyote ya kupokea Pesa na nadhani kwa wakati ule huduma ya kurejesha muamala haikuwepo,,ila nilichomoka kama usain bolt hadi kwa wakala nikaitoa fasta elfu 55 nikarudi geto,,nikaanza subiri nani atanipigia kunambia kakosea wapii,,nikaanza mipango sasa ya kutumia helaaa yangu,,ule kwa kweli ulikuwa muujizaaa
 
Aisee hv nikitaka ile story ya rojas naipaje kwenye mitandao humu...yan yule jamaa ni teja ila cha ajabu anajua kuhadithia utafkiri unaangalia movie....ile trip yake ya south ilikuw ni hatari mbaya aisee😂

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…