Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Alienda kutoa halafu akafuta sms
 
Ulete Uzi na wewe
 
Nd na ww usiache kumsaidia mtu akikulilia shida, hujui mtu anapiyia shida gan tukitahd kua na roho za imani, mtu kama huwez kumlaza kwako kwa kuhofia uslaama wako nenda kamkodie japo gest alale. Tusaidie binadamu.
 
Ulijikuta umefikia sehem sahihi kivip sjakuelew. Ulitakiw uende Dar sasa sehem sahih Arusha kvp? Hao watu walikujuaje km una shida na waliambiwa na nan kama usiondoke mpk uletew kila kitu ??
 
Aisee hii stori imenifanya nione kama sijawai pata shida
 
Ila hii story ilipaswa kupewa tuzo ,huyu mwalimu anayejiita mpwayungu village ni story teller na linajua comedy ,Yaani huyu mpuuzi hii story yake huwa sichoki kusoma ,
Mpwayungu ,andika kitabu zoba wewe
 
Ila hii story ilipaswa kupewa tuzo ,huyu mwalimu anayejiita mpwayungu village ni story teller na linajua comedy ,Yaani huyu mpuuzi hii story yake huwa sichoki kusoma ,
Mpwayungu ,andika kitabu zoba wewe
Tulimshauri sana aiendeleze story yake akasusa!! Eti kisa kuna member alipost negative comment ya hii story!! Kajamaa kakasusa!!! Kana hasira za kike haka ka Mpwayungu!!! Balaa kabisa!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…