Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Hawa wajuaji huwa wapo sana kwenye nyuzi za watu hapo usikute wapo kwa shemeji zao wanavaa tu soksi na malapa na kuangalia movies sebulen hawajui kisanga Cha utafutaji kuwa Kuna hatua maisha huwa yanakua magumu zaidi ya movie za majonzi.
Achana nao Leta uzi kwa mslahi ya sisi tunao amini wakati wowote chochote kinaweza kutokea katika maisha.
kwa niaba ya wavaa soksi na malapa na wakaa kwa mashemeji jicho kideoni uzi hatuutaki tunacheki muvi tuje tusimulie mikoani sio habar za kutembea kwenye vumbi na kulala porini
 
Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525

Umeleta habari yako wewe.. humu kuna watu unaona wapo hivyo.. unawapita kama hausomi.

Sasa kuacha na sisi wengi tunakusubiri.. basi kama haufahamu ya humu ungepotezea kuandika kabisa. Pole kwako kama haukufahamu ya haya kabla ila sasa endelea..

Endelea kutusumulia au acha hata kujibu humu.. utazidi kutubowa tulio soma yote kwa kutenga muda wetu.. hii haitokeikwa kila mtu humu kuvutia watu kufatilia hadithi za maisha yao.
 
Yaani Mpwayungu Village maneno ya kidagaa (Imeisha iyoooo) umeweza kuyavumilia halafu kauli ndogo tu za wanazengo wa jamii forum unaleta makasiriko kweli
Yani Mpwayungu Village kama hutoleta muendelezo basi kauli ya mwamba mmoja aliyetaka kukupatia bint yake nitamshawishi asikupatie......
Mkuu nadhani wengi humu ni vijana, watu wazima kama mimi na pasilkali mayala tupo wachache labda na mshana jr. Kuna comments nilizisoma kuhusu mpwayungu village nikajua hataendelea na story yake, hata mimi nisingeendelea kwahiyo mimi binafsi simlaumu mpwayungu village kususa maana hata mimi ningesita kuendelea kutumia muda wangu ambao silipwi kukejeliwa namna ile!
Pole mpwayungu village.
 
Watu wazima uzima upi? Jamaa anachokosea ni kutaka kuwaaminisha watu wenye akili kuwa story ni ya kweli wakati ni ya kutunga. Hilo hatuwezi likubali. Aende zake huko. Wamemtoa kwenye group alilokuwa aki copy na kuja ku paste huku. Wakimrudisha ataleta tena story. Aache kutudanganya sisi wenye akili.
 
Hamna kituh
Wapuuzi kama nyie ndommeacha nisiendelee na huu uzi tena badala ya kutoa fact nikupe ukweli lakini unaamua kupinga tu eti hivi visa ni uongo. Umeamua kuingia kwenye profile yangu kutafuta Mada nilizokuwa nikiweka baada ya kuziona nikajua wewe ni mdadisi na mtafiti mzuri tegemeo langu uje uulize sehemu yoyote yenye mashaka nikujibu lakini unamaliza mazima yani kuwa huu uzi ni uongo. Sawa acha iwe hivyo maana akili zako zimekutuma lakini kwakua mumeamua kusema sieleweki Mala nasema nipo chuo Mala nasema nimemaliza form six vyovyote vile hayo mm napokea. Ila naomba niongee machache na hapa siongei na wewe Bali ni wana jamii forum wote. Elimu ya Tanzania iko yaaina tatu naomba nitaje kwa kimombo, Kuna formal education, informal na non formal education sasa kueleza moja baada ya nyingine mda huo sina kwahiyo naweza kusoma mwaka huu nikamaliza darasa la saba nikapumzika hata miaka mitano kutokana na akili yangu inavyonituma baada ya hapo nikaenda kidato na nne nikamaliza nikakaa miaka matatu mitaani huwezi jua nini kilinipata, after then naenda kumaliza kidato cha sita maamuzi ya kwenda chuo ni mm mwenyewe. Sasa nakuomba nenda ukasome sehemu ya kwanza ya huu uzi utakuta mwaka niliokuwa natafuta shule za kufundisha ilikuwa ni 2020, halafu nenda kwenye post niliopost nikisema nipo chuo. Swali ni kwamba kama nimeishia form six 2020 je ilipofika 2021 nikaona ni bora niende tu chuo na sifa ninazo kwani siruhusiwi?. Sasa mimi nimeamua tu kuwaweka wazi sio kila kitu ni kupinga tena mnapinga upuuzi hamuulizi mkajibiwa ndio maana moyo ulisita kuendelea. Na kwakua umesema mm muongo basi hapa chini naambatanisha baadhi ya nyaraka, mimi ni mtu na akili zangu huwezi nipangia mwaka wa kwenda chuo wala sekondari. Ninaweza kusoma PGM chuo nikasoma hata human resource kama sifa ninazo mtu hanipangii, naweza kusoma PCB nisiende udaktari nikaenda kusoma certificate in primary education kutokana na malengo yangu. Usikalili maisha na utanichunguza ila hutafanikiwa na ndio maana tunatumia fake ID humu kwahiyo siwezi kuweka kila kitu wazi mpaka mtu avute hisia mwishowe ajue kumbe mwenye hii ID ni ALEX au SAMWELI. View attachment 2230523View attachment 2230524View attachment 2230525
Hamna kitu hapa. Mtu hujui hata kuandika. Eti prutable....ukitaka maanisha Pool Table. Kiswahili kinakushinda unaandika Kupuguta sijui unataka maanisha nini. Hivi vyeti vipo vingi tu unaweza pata uka ficha jina na kuja post humu.

Unataka udanganye tukuchekee tu.. thubutu... Ondoka na uongo wako. Na unayemchukulia story yake naye naona amekukasiriki. Siku nyingine ukitaka kudanganya jipange. Omba wenye uelewa wakusaidie...
 
Mimi nilihisi tu huyu jamaa ataishia njiani. Maana kuna watu unahadithia jambo lako lakini yeye anawashwa kama vile amekalia upupu.
Mara muongo,Mara chai,Mara hivi hawatosheki wakiandika hapa wanaenda mpka pm. Sijui nini huwa kinatokea kwa hawa wadau WA jf.

Ushauri ikiletwa story ya MTU iwe uongo au kweli, tulia usome hadithi yote ili upate mikasa na ujifunze hata ikiwa uongo huvunjiki mguu. Huwezi, usisome ondoka sio kujaza uchafu kwenye Uzi WA mwezako.
Umeandika kinyesi hapa.
Kaa na mmeo akufunde, hujafundwa wewe mwanamke.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu watu waliosoma la kwanza Hadi chuo bila ya kufukuzwa wala kupata misukosuko hapa katikati huwa wana akili ndogo sana (inawezekana hawana hata Iyo ndogo)

Ukimweleza shida ulizo pitia anahisi ni uongo ama ni stori flan za kufikirika Basi analeta uchambuzi wake (kulingana na Maisha yake )

Wakati mwingine ni kuwapuuzia tu
 
Watu wazima uzima upi? Jamaa anachokosea ni kutaka kuwaaminisha watu wenye akili kuwa story ni ya kweli wakati ni ya kutunga. Hilo hatuwezi likubali. Aende zake huko. Wamemtoa kwenye group alilokuwa aki copy na kuja ku paste huku. Wakimrudisha ataleta tena story. Aache kutudanganya sisi wenye akili.
Tufanye tu,kakudanganya wewe unapungukiwa nini? Unaonaje ukipita tu, after all hii ni story yake
 
Mpwayungu village nakusihi katika imani yako achana na hao akina Tomaso.(wasioamini)
Maliza stori yako ukate kiu ya wengi.
Usiwaache watu na hamu kwa stori yako tamu.
Ahadi yangu kwako kama hujaoa nitakupa binti yangu bikra akupoze machungu ya kuhaso na maisha ya ufukara.
Binti yangu ni mwajiriwa ana kipato sio chini ya 3M kwa mwezi.
Umejuaje ni bikra
 
Back
Top Bottom