Mkuu hata kama ungeweka jina lako halisi na picha za kusapoti matukio, kuna watu wangepinga tu amini hivyo, binadamu hatufanani. Na wengi wanaofanya hivyo wana shida zao kichwani, wana mapungufu ya kisaikolojia, mtu mwenye akili na muelewa kutokana na mtiririko wa matukio na Geografia ameshajua kuwa unachoeleza ni cha kweli tupu kwa kusoma tu episodi 2.
Uzuri ujue, wanaokuamini ni wengi sana kuliko wakatisha tamaa waliojifanya wanajua ilhali hamna wanachojua na hawewezi andika hata story ya kuvutia kama ufanyavyo angalau kwa paragraph 2 tu , usi rely kwa hao wakatisha tamaa rely kwa watu wa kweli.
Nakusihi mkuu we endelea, wengi tunajifunza, siyo tu kwa hii story yako ya kusisimua na aina ya uandishi wako, bali pia kwa kujua Geografia ya mother Tanzania.