Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

[emoji81][emoji81][emoji81]humu ma punga ni wengi kweli .mwanaume una shuka essay za vibembelezo kwa mwanaume mwenzako manina.....
 
Katika maisha kuna watu kazi ni kukatisha tamaa wenzao,,
Binadamu watu wa ajabu sana hata mm nikileta ya kwangu watasema ni ya uongo,,
Mkuu tuendelee na story yetu achana nao hao wanajifanya wajuaji
 
mpwayungu village na wengijeo mnaoleta nyuzi humu kwa ajili ya kuelimisha, kuburudisha nk.

Kaeni mkijua kua humu kuna watu wa aina tofauti tofauti, hizo mambo za kususa sio ishu, kwani mlitaka kila mtu aamini kile nyie mnasema kua ni kweli.
Watu kama mleta uzi hawafai kua viongozi hata wa familia, wao wanataka wanachokisema kiaminike ilhali sio wote wanaweza kukiamini.

Kikubwa ni kupuuza wanaopinga, maliza story mwisho wa siku mtu ataona chai lakini kwa namna moja au nyingine atakua ameelimika mahali fulani.

Hii ya kususa kisa umeambiwa ni chai ni utoto wa hali ya juu.

Enewei, natumai utaendelea kushusha nondo.
 
Huyu mpwanyungu alichokifanya ni sawa na kidume unakaribia kumwaga wazungu..kisha demu anachomoa mkunyenye na kuondoka geto..hahaaaa noma sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787] jamaa buree kabisa hata muvi zile zina wanao ziponda na kutoa critism..
Hata kina Mondi na Harmonize wanatoa nyimbo watu wanaponda ila haawachi kuimba..
Kwa kifupi mpwayungu village ni dhaifu na kukimbia kwake kunazd kutia shaka ka kweli alipitia visanga vyote vile..

Imeisha hiyooo..!
 
mpwayungu village na wengijeo mnaoleta nyuzi humu kwa ajili ya kuelimisha, kuburudisha nk.

Kaeni mkijua kua humu kuna watu wa aina tofauti tofauti, hizo mambo za kususa sio ishu, kwani mlitaka kila mtu aamini kile nyie mnasema kua ni kweli.
Watu kama mleta uzi hawafai kua viongozi hata wa familia, wao wanataka wanachokisema kiaminike ilhali sio wote wanaweza kukiamini.

Kikubwa ni kupuuza wanaopinga, maliza story mwisho wa siku mtu ataona chai lakini kwa namna moja au nyingine atakua ameelimika mahali fulani.

Hii ya kususa kisa umeambiwa ni chai ni utoto wa hali ya juu.

Enewei, natumai utaendelea kushusha nondo.
Kafeli sana huyu hawez kuwa baba ni dhaifu... Kakomaa na kina kidagaaa anashindwa hapa
 
[emoji1787][emoji1787] jamaa buree kabisa hata muvi zile zina wanao ziponda na kutoa critism..
Hata kina Mondi na Harmonize wanatoa nyimbo watu wanaponda ila haawachi kuimba..
Kwa kifupi mpwayungu village ni dhaifu na kukimbia kwake kunazd kutia shaka ka kweli alipitia visanga vyote vile..

Imeisha hiyooo..!
Mshikaji kasusa..daah.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom