Sitosahau siku niliokamatwa na polisi kisa kupunguza upwiru

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Nakumbuka ndo nilikuwa nmemaliza kidato cha nne shule fulani jijini Mwanza.

Iyo siku niliwasiliana na mzee akanambia yupo road anakuja home, mzee hua unabana sana yaani akiwepo home hakuna kutoka nikushinda ndani ikabidi niondoke om nienda kupunguza upwiru mabatini jijini mwanza ilikuwa mida ya saa mbili ivi nikafanikiwa kufika hapo mabatini ikumbukwe kwamba hadi namaliza form four sikuwahi kufanya mapenzi wahuni wanasema(kupiga mbunye oyaah).

Nilipofika mabatini maeneo husika nikachungulia chungulia ilikuona kama kuna wadada kweli walikuepo wakutosha ad lika langu nikasema hapa chacha ndo penyewe tena kama huyu mwenyewe kichuguuu kikubwaa (nyashi)nyuma simuachi aseee.

Nikaingia nikaongea nae fresh akanambia buku tano nikasema hakuna shida na ndomu zipo akasema zipo bana situkazama ndichi(ndani) nakumbuka ile nazama ndani una washikaji wawili walikuwa pale nje mimi sikuwajali nikazama na mtoto mbichi.

Tukafika ndani maandalizi yakaanza ile natoa kichapio tu ili nivalishwe ndomu mara nikasikia sauti wote chini ya ulinzi asee mwili ulitetemeka na hamu ya kupika show ikapotea kichapio kikalala fofofo.

Wakaingia tulipokuwa tulikuwa na jamaa mwingine tukavishwa pingu cha ajabu yule demu hakukamatwa nikaambiwa mlipe pesa ya kinga nikampatia buku tanu asee niliumia sana buku tano ata show sijapiga .

Kituo cha polisi cha mabatini kipo karibu tu ikabidi tutembee tu ad kituo tukaingizwa ndani ilikufika tu tukamkuta mkuu wao ni jamaa fulani wa makamo ili kwa kumuangalia tu ilikuwa ni chapombe sana.

Tukaanza kuulizwa maswali ivi kwanini mnanunua mbunye ? hilo swali kidogo nichekee maana sikutegemea kuulizwa hivyo nikasema nilikuwa n upwiru mkuu , kanambia ivi unajua kununua mbuny ni kosa kisheria nikasema sijui mkuu, atwambia haya vueni nguo zenu kisha wekeni hapo mezani tukaandikishwa majina tulibaki kwenye boxer tu.

Nikaingia sero kwa mara ya kwanza na yule jamaa mwingine nae akawekwa sero nyingine.
Nikakaa kama dakika 15 ivi nikasikia yule mwenzangu ametoka sikujua walienda kuongea nini na mm nikafatwa na afande mmoja anambia njoo huku kisha akanambia dogo kama unaelf 20 toa tukuachie lasi ivo kesho asubuhi utachukuliwa na defenda asee nikamwambia afande sina kitu apa yule .wenzagu kashayoa 20 kashaondoka zake nikabaki mimi.

Nikatafakari nikakumbuka kuwa kwenye akaunti yangu ya sportybet nina 30K ambayo niliwin mkeka ikabidi niwambie afande ninapesa sportybet nilishinda mkeka hivyo niweza nikatoa kulipa ili mniachie huru akasema haina shida vaa nguo zako muende kwa wakala na maafande wawili kweli nikawithdrawal pesa nikatoa nikawapa wakaniachia .

Nijiulizaga kama mshua angejua kijana wake tena first born kabisa nanunua uchi sijui ingukuaje.
Sasa ninafamilia yangu itabaki kuwa kumbukumbu daah rockcity mwanza
 
Cc: Mahondaw
 
Dah mimi hapo mabatini nilitomba 2021,lakini roho juu juu coz hapo around kulikuwa na washikaji wanavuta bangi nadhani walikuwa vibaka wale
 
Daah, nimecheka sana KMMK...😂😂😂😂
 
Dah mimi hapo mabatini nilitomba 2021,lakini roho juu juu coz hapo around kulikuwa na washikaji wanavuta bangi nadhani walikuwa vibaka wale
Ivi bado wapo dadapoa w mabatini??
 
Back
Top Bottom