Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics.

Tuingie kwenye story. Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale shuleni kwetu! Private schools.

Kwa bahati ilikua wiki ya mwanzo ya ndio wanafunzi wamefunga kama kawaida Kila shule huwa Ina utaratibu wake!

Basi! Walikuwa kwenye kikao cha maendeleo ya kitaaluma ya mwaka mzima! Mkurugenzi, manager pamoja na walimu wote kikao kikaisha kilichukua masaa matatu mvutano ulikuwa mkubwa sana.

Kwasababu sikuwa mbali sana na Ile hall ya kikao ya madirisha ya grill niliona karibia wote walipewa bahasha Kila mwalimu.

Baada ya kikao kuisha Mwalimu wangu moja kwa moja alikwenda kuisomea chooni🥺alitoka chooni huku machozi yakimtoka wakati ule alikua na miaka 37 na mkewe ndo alikua kajifungua mtoto wa Tatu mwenye mwezi mmoja (alinisimulia hayo yote) sikuwa na kumsaidia zaidi ya kumtia tu moyo nilijifunza kitu kikubwa.

Alilalamika mwalimu mwenzake aliyekuwa anafundisha physics alitaka kufundisha na hesabu ili aongezwe mshahara akafanyiwa fitna kazi ikaota nyasi bahati mbaya jamaa hakuwaga chawa wa boss mwenzake alikuwa chawa mzuri.

Popote ulipo mwalimu wangu mathematics Mungu akupe afya na siha njema. Kuachishwa kazi ni mtihani mkubwa sana.
 
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics

👉Tuingie kwenye story
Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale shuleni kwetu! Private schools

Kwa bahati ilikua wiki ya mwanzo ya ndio wanafunzi wamefunga kama kawaida Kila shule huwa Ina utaratibu wake!

Basi! Walikuwa kwenye kikao cha maendeleo ya kitaaluma ya mwaka mzima! Mkurugenzi, manager pamoja na walimu wote kikao kikaisha kilichukua masaa matatu mvutano ulikuwa mkubwa sana

Kwasababu sikuwa mbali sana na Ile hall ya kikao ya madirisha ya grill niliona karibia wote walipewa bahasha Kila mwalimu

Baada ya kikao kuisha Mwalimu wangu moja kwa moja alikwenda kuisomea chooni🥺alitoka chooni huku machozi yakimtoka wakati ule alikua na miaka 37 na mkewe ndo alikua kajifungua mtoto wa Tatu mwenye mwezi mmoja
(alinisimulia hayo yote) sikuwa na kumsaidia zaidi ya kumtia tu moyo nilijifunza kitu kikubwa

👉Alilalamika mwalimu mwenzake aliyekuwa anafundisha physics alitaka kufundisha na hesabu ili aongezwe mshahara akafanyiwa fitna kazi ikaota nyasi bahati mbaya jamaa hakuwaga chawa wa boss mwenzake alikuwa chawa mzuri

👉Popote ulipo mwalimu wangu mathematics Mungu akupe afya na siha njema.

👉Kuachishwa kazi, ni mtihani mkubwa sana
Popote ulipo mwalimu wangu mathematics Mungu akupe afya na siha njema.

👉Kuachishwa kazi, ni mtihani mkubwa sana
😭😭😭💪🏿🙏🏾
 
Hiyo shule ni ya private? Kama ni ya private huko huwa hakuna ajira ya kudumu ni kibarua tu, mshahara wako ndio pensheni ukiupata usidhani kwamba kuna mwingine utapata, unaweza kufukuzwa wakati wowote. Ni ushenzi mtupu ajira za huko hazina security
 
Daah...Mola atusaidie.
 
Private mkuu
 
Back
Top Bottom