Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

Sitosahau siku nilipomuona mwalimu wangu anatoa machozi baada ya kupokea barua ya kufukuzwa kazi!

je? shule sio kampuni na je? shule inasajaliwa na nani brela ama nani?
inaweza kuwa kampuni na ikasajiliwa brela na wizara ya elimu. Ishu ni mishahara yao kwa walimu ni midogo tena hakuna mikataba ya kueleweka. Watu wa idara ya kazi wakienda kukagua huzugwa tu kuwa hao walimu wanajitolea bure ili kuficha ukweli kuwa ni waajiriwa wao wasiopelekewa fedha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Pamoja na maoni yako mazuri, hapa hakuna uhalisia
uhalisia ni upi? Kama kuna malipo mazuri na ya heshima ni kwa shule za misheni na taasisi zingine zenye kujali elimu, the rest wamiliki ni matapeli watupu hawalipi walimu mishahara yenye hadhi za viwango vya elimu zao kwa mujibu wa scale za serikali
 
Ajira ni utumwa ajira ni kufa masikini

Mwangalie Nyerere top top wa Tanzania kwa miaka zaidi ya 20 lakini alikufa maskini

Wanaotajirika hata in top office wengi wezi ndio maana wanaonekana Wana pesa

Huu ni ukweli toka dunia imeumbwa hakuna tajiri mfanyakazi!!
 
afadhali huko unafanya kazi akili imetulia at the end unalipwa mafao kutokana na rate ya mshahara ulioishia nao. Sasa huko shule za private kuna nini kama si kufanya kazi under high pressure tension? Shame on them!
Kwani kwenye kuomba si watu wanasemaga wao wenyewe I will under pressure
inaweza kuwa kampuni na ikasajiliwa brela na wizara ya elimu. Ishu ni mishahara yao kwa walimu ni midogo tena hakuna mikataba ya kueleweka. Watu wa idara ya kazi wakienda kukagua huzugwa tu kuwa hao walimu wanajitolea bure ili kuficha ukweli kuwa ni waajiriwa wao wasiopelekewa fedha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii
Mzee ili utajirike principle Namba moja ni kuminimize cost kwa hali na mali Yan acha punda afe Ila mzigo ufike, we si unawaona wahindi na wachina jinsi wanavolipa pesa kiduchu na viboko juu
 
Najua asilimia kubwa wakati tunasoma tulikuwa hatuwapendi walimu wa mathematics.

Tuingie kwenye story
Basi bwana mnamo mwaka 2007 mwezi wa kumi na mbili nikawa nimeenda kuchukua cheti pale shuleni kwetu! Private schools.

Kwa bahati ilikua wiki ya mwanzo ya ndio wanafunzi wamefunga kama kawaida Kila shule huwa Ina utaratibu wake!

Basi! Walikuwa kwenye kikao cha maendeleo ya kitaaluma ya mwaka mzima! Mkurugenzi, manager pamoja na walimu wote kikao kikaisha kilichukua masaa matatu mvutano ulikuwa mkubwa sana.

Kwasababu sikuwa mbali sana na Ile hall ya kikao ya madirisha ya grill niliona karibia wote walipewa bahasha Kila mwalimu.

Baada ya kikao kuisha Mwalimu wangu moja kwa moja alikwenda kuisomea chooni🥺alitoka chooni huku machozi yakimtoka wakati ule alikua na miaka 37 na mkewe ndo alikua kajifungua mtoto wa Tatu mwenye mwezi mmoja (alinisimulia hayo yote) sikuwa na kumsaidia zaidi ya kumtia tu moyo nilijifunza kitu kikubwa.

Alilalamika mwalimu mwenzake aliyekuwa anafundisha physics alitaka kufundisha na hesabu ili aongezwe mshahara akafanyiwa fitna kazi ikaota nyasi bahati mbaya jamaa hakuwaga chawa wa boss mwenzake alikuwa chawa mzuri.

Popote ulipo mwalimu wangu mathematics Mungu akupe afya na siha njema. Kuachishwa kazi ni mtihani mkubwa sana.
Pole sana man

Uliona jambo BAYA ukiwa Bado mtoto!!

Hii itakuathiri kisaikolojia coz utawaonea huruma wale wazembe kwenye kampuni yako!
 
Hiyo shule ni ya private? Kama ni ya private huko huwa hakuna ajira ya kudumu ni kibarua tu, mshahara wako ndio pensheni ukiupata usidhani kwamba kuna mwingine utapata, unaweza kufukuzwa wakati wowote. Ni ushenzi mtupu ajira za huko hazina security
Hivyo sana
 
Mkuu unamaanisha Kuna watumishi watafukuzwa kazi!!?

Nambie aiseh!
Hapana mimi mwenyewe kuna biashara yangu ni nafanya Sasa nilijaribu kuwa na huruma Baada ya kum-delegate mtu asimamie then nimekula loss for four month sababu ya kuona huruma ataenda wapi nikawa nataka kumfukuza but nakumbuka zile ups and downs nilizopita nae kweny biashara


Zinafanana na yule mwalimu wangu maana alikuwepo tangu shule Ina madarasa mawili hadi kufikia madarasa Sita vitu vingi so akafukuzwa later kwamba hufaulu umesua kwa ule muhula wa hesabu 2007 imagine muhula mmoja tu Kala
 
Back
Top Bottom