Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Dah aisee Pole sana story ya kusikitisha ni heri angeomba kuondoka tu hiyo shule.
 
Sahihi kabisa

Na nilimaanisha hivyo kwamba ni wokovu wa kweli ukiwa umesimama na Mungu na maombi ya kufunga pia, sio wokovu wa kwenda kanisani na kuchapa mademu.
 
mzee umeenda kumuomba msamaha lakin usiku kwenye kikao chao analia?
huyo ni wa kumpiga makofi hadharani kakuzoea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…