Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi


cariha
 
Naona criticsm zimekuwa nyingi kwahiyo nitaishia hapa kwenye episode 6 ahsanteni wote kwa kufuatilia, niko naendelea kupambana na chaki.

Ndio maana tulikwambia usisome critics hakuna alieleta story yake jf akasifiwa na wote
Ukileta kitu we tiririka tu usisome maoni ya watu hadi umalize
 
Kumbe Upo.Kuna jamaa alianzisha Thread Kueleza Maisha Yake Ya Ujambazi,Tukashangaa Kimya Sijui Baada ya Kufika Episode ya 8 Nafkiri Sasa cjui Alienda kuiba wakampiga chuma

[emoji28][emoji28][emoji28]yule tuliishia alipata kazi ya tajiri kkoo sasa sijui ndio alienda mazima hajawahi kurudi tena
 
Nikisoma hivi hlf Mimi mwaka wa nne huu natafuta mchawi wa kunilogea watu sipati, nabakia kusema hiiiiiiiii
Halafu nahitimisha kuwa uchawi haupo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwanini unataka uwaloge?unaanzisha vita utaiweza kweli?
 
Inaweza ikawa ni jongoo wa kawaida ama ikawa ni mtego, jaribu kuangalia nyendo zako. Tiba, safisha nyumba yako weka chumvi ya mawe kila kona ya pembe ya chumba, usiruhusu mtu usiyemjua vizuri kuingia ndani kwako.
Kwahiyo sasa mwalimu umekuwa mganga wa kienyeji?
 
Walimpiga kipaipai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Yaani mtu anakunuiza nenda Mwana kwenda kama upepo unavoenda afu anakupuliza huku ananuia "km maiti inarudi na yeye arudi kama hairudi basi asirudi tenaa"weeee...usiombe

Dah wewe una experience unajua kunuia[emoji28][emoji28][emoji28]
 
haya mambo kwa tanga ni ya kweli kabisa mm mwenyewe nilikuwa handeni kijiji cha ndelema ukikuta nyumba hawajui uchawi basi wana mganga wao anaowatibu
Me nikiandika mambo ya tanga kuhusu ushirikina naonekana mbaya wanatanga wanakuja juu nakujinasibu kuwa wenyewe ni wastaarabu, toka lini mshirikina au mchawi akawa mstaarabu
Nipo tanga kutwa nzima wapangaji wenzangu kwenda kwa waganga, kitu kidogo tu wameenda kwa mganga au kupiga simu kwa mganga. Principal yangu sitaki kushirikiana au kushare kitu nao ni mimi na familia yangu tu.

Mambo haya watu wengi wa bara yanatushinda
Dini ya mudi na ushirika vinaenda sambamba
ushirikina=uchawi=roho mbaya
 
"uttoh2002,
Yani kweli umekalisha kengele chini ukiamini hii ni story ya kweli?

Another chiiz in town.
 
Umeanza vizuri, ila aya ya mwisho umepuyanga.
 
Umeanza vizuri, ila aya ya mwisho umepuyanga.
Hapana mkuu utakuta mtu swala 5 afu ni anaswalisha au anamiliki msikini ila ni mganga wakinyeji au watu wana mtuhumu kuwa ni mchawi
Kwa wakristo haiwezeka ila washirika washirikina wapo ila wanajificha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…