Upo kama huu ulikuja week iliyopita.UPI tena madame B
Ok bossFanya ivo
Mwanangu umetisha nilisha wahi kukaa na toto moja iv kwa hawa matajiri aseee wengi wao ni wapuuzi hawajui kulea watoto kabisa mtu unachoka mpka unatamani kwenda shambaSitasahau hiii
Umeenda nyumbni kwa mtu alafu unakutana na
toto sumbufu balaa amjawai kuonana lkn
limeshakuzoea..... Unakuja mwenyewe labda
umechomekea shati nini!! linaanza kukurukia
rukia mala linakuvuta shati mpaka linachomoka...
Mama yake anabaki we junior embu muache
ancle.... Basi unafika unakaa sebureni linaanza
kukusumbua mala likupige kibao cha kushitukiza
ulikua unaangalia zako mbele kwenye tv mala
linakudandia mapajani... Unajibalaguza kuliambia
aya nenda kwa mama.. Linakutemea mate usoni
na mama yake anacheka tu na kukwambia
nakwambia leo utakoma mimi uwa nayafinya
kisiri siri sasa unakuta umeletewa chai na
maandazi toto lipo mbeke yako linakuangalia
linataka kuokota andazi kwakua unaona mikono
yake michafu unaamua kulimegea kipande
halitaki linataka zima... Ujakaa vizuri limemwaga
chakula kwa hasira.. Masaa yanaenda kwenye tv
muda wa habari... Lenyewe linataka kuweka
cartoon... Linaaza kulia kwa nguvu mamake
anasema aya embu liwekeeni ma cartoon yake
kipindi icho wewe unatamani lipigwe balaa...
Ujakaa sawa unashangaa umepigwa na remote
kichwani unageuka kwa hasira unakuta toto
linacheka.... Ngoja niishie hapa ila kama upo ivyo
na mtoto wako watu hawapendi ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sana mkuuSitosahau mpaka nimebaki na kilema cha bega#iliku iv pale kijijini nilikua na mpenzi wangu siku hiyo tulikutana saa 11 jioni tulikubaliana kua niende kwake pale kwa wazazi wake tukafanye mambo yetu ya kumuuzi mungu kama tulivozoea kumbe baada ya mie kuondoka nyuma alifika mjomba ake na akakaribishwa ktk kile chumba cha demu wangu naye demu wangu akaaenda kulala kwa bibi yake si unajua simu hazikuwepo kipindi hicho bwana basi wakati ulipofika kijana nikaenda na kutaka kuingia ktk chumba cha yule demu wangu // maskini mimi kumbe siku za mzinifu ni chache kuliko za mwizi ghafra nikasikia sauti ya kiume inasema mwiziiiiiii hyoooo duh ! Nilitoka mbio mpaka nikashindwa kukata kona basi nikajigonga kwenye kona ya nyumba yao kwa bega langu la kushoto mpka leo natembea upande upande si mnajua hakukuw a na xrey miaka ile tabu tup
Kama sintaaga mapema ntatengeneza chukiSitasahau hiii
Umeenda nyumbni kwa mtu alafu unakutana na
toto sumbufu balaa amjawai kuonana lkn
limeshakuzoea..... Unakuja mwenyewe labda
umechomekea shati nini!! linaanza kukurukia
rukia mala linakuvuta shati mpaka linachomoka...
Mama yake anabaki we junior embu muache
ancle.... Basi unafika unakaa sebureni linaanza
kukusumbua mala likupige kibao cha kushitukiza
ulikua unaangalia zako mbele kwenye tv mala
linakudandia mapajani... Unajibalaguza kuliambia
aya nenda kwa mama.. Linakutemea mate usoni
na mama yake anacheka tu na kukwambia
nakwambia leo utakoma mimi uwa nayafinya
kisiri siri sasa unakuta umeletewa chai na
maandazi toto lipo mbeke yako linakuangalia
linataka kuokota andazi kwakua unaona mikono
yake michafu unaamua kulimegea kipande
halitaki linataka zima... Ujakaa vizuri limemwaga
chakula kwa hasira.. Masaa yanaenda kwenye tv
muda wa habari... Lenyewe linataka kuweka
cartoon... Linaaza kulia kwa nguvu mamake
anasema aya embu liwekeeni ma cartoon yake
kipindi icho wewe unatamani lipigwe balaa...
Ujakaa sawa unashangaa umepigwa na remote
kichwani unageuka kwa hasira unakuta toto
linacheka.... Ngoja niishie hapa ila kama upo ivyo
na mtoto wako watu hawapendi ujue
Ha ha ha kweli aseeeSitasahau hiii

[emoji3] [emoji3]Sitasahau hiii

Pole sana mkuuSitosahau mpaka nimebaki na kilema cha bega#iliku iv pale kijijini nilikua na mpenzi wangu siku hiyo tulikutana saa 11 jioni tulikubaliana kua niende kwake pale kwa wazazi wake tukafanye mambo yetu ya kumuuzi mungu kama tulivozoea kumbe baada ya mie kuondoka nyuma alifika mjomba ake na akakaribishwa ktk kile chumba cha demu wangu naye demu wangu akaaenda kulala kwa bibi yake si unajua simu hazikuwepo kipindi hicho bwana basi wakati ulipofika kijana nikaenda na kutaka kuingia ktk chumba cha yule demu wangu // maskini mimi kumbe siku za mzinifu ni chache kuliko za mwizi ghafra nikasikia sauti ya kiume inasema mwiziiiiiii hyoooo duh ! Nilitoka mbio mpaka nikashindwa kukata kona basi nikajigonga kwenye kona ya nyumba yao kwa bega langu la kushoto mpka leo natembea upande upande si mnajua hakukuw a na xrey miaka ile tabu tup
Ndo hivo zamani zile tulikua tunakutana mtoni shuleni wanja ea mpira au kwenye mti frani ila mambo hayakua na gharama kama sasaPole sana mkuu