jamani 6 na madudud yake yote punguani gani atampa urais? ivi mnajua kuwa kuwa rais ccm ni pamaoja na kuwa mwenyekiti wa ccm? 6 bunge la watu 300+ tu limemshinda ataiweza ccm na serikali ya tz nzima? acheni mizaha enyi wana. kachezeni na chadema si ccm. hawawezi kufanya kosa kama hilo