Elections 2010 SITTA Might be CCM Strongest Presidential Candidate 2015

who exactly know Samwel Sitta short story? Is this a real clean man?

For presidency 2015? Absolutely not.
 
jamani 6 na madudud yake yote punguani gani atampa urais? ivi mnajua kuwa kuwa rais ccm ni pamaoja na kuwa mwenyekiti wa ccm? 6 bunge la watu 300+ tu limemshinda ataiweza ccm na serikali ya tz nzima? acheni mizaha enyi wana. kachezeni na chadema si ccm. hawawezi kufanya kosa kama hilo
 
Kama vilaza Mwinyi na JK sasa wameweza kwa viwango vya CCM sembuse Sita? Anaweza ila hawawezi kumpa make hana mafisadi kumsupport. C unajua chama chenyewe cha MAFISADI?
 
Back
Top Bottom