Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Namuunga mkono Sitta kugombea na hata kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Hata hivyo, kwa Chama cha CCM ni ndoto za mchana kwa Sitta kupitishwa kugombea hiyo nafasi.
Sita ana faa ana uzoefu,lakini Chenge aliongoza wapi?
Watanzania, nchi hii ni ya ajabu. Chenge kwa usafi upi,uadilifu upi (moral authority) alio nao kugombea nafasi inayohitaji uadilifu wa hali ya juu kama hii ya mwenyekiti wa Bunge la katiba. Kweli nchi hii imelaaniwa! CCM bila aibu mnampendekeza Chenge!
hata yeye mwenyewe anaonaaibu kujaribu.HafaiJob Ndugai hausiki?
huyo nijembe.We ukiona mtu mafisadi hawampendi,huyo ujue anafaa.Sikuzile walimtoa kwenye usipika ccm wakatubambika huyo mama Mbena.Ona sasa alivyo haribu!