Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Tanzania hii hii ninayoijua mimi! Hakuna cha kifungo wala nini, subiri utaona

Siti miss tz fekero baba yke anapeleka wa2 utumwani arabuni,huu umis walipanga na ankol lundenga cku y press conference mama yake alienda kufanya nini
 
..hhaahaaaaaaa...!!! Bibi bomba..i was wondering...miss gani ana uso kakomaaa kama ana 55 yrs...Mtemvu Family..kila kitu kwao fake..baba anauza wanawake Arabuni...Hii familia hii...haaaahaaaaaaa...ni FAKE 100%...👎👎🏃🏃👙👙
 
Ni uzushi tu wakuu ni mtu ameamua kutupima uwezo wa watanzania wa kufikiri akaona afungue fake acc
 
Washawaweza Bongo bana... kaamua kuwazingua muondoe attention ya kumfatilia mtakuja kushtukia huyooo keshaenda miss world
 
Msemaji wa miss Tanzania ametweet ktk mtandao wa tweeter akikanusha taarifa za kujivua taji Kwa miss Tanzania mwenye kashifa ya kufoji umri sitti mtemvu

pia amesema kuwa sitti mtemvu hatumii facebook......

KWA HYO TUENDELEW KUMSAKAMA WADAU MPK TAJI LIVULIWE
 
Sitti anajiandaa kunyakua taji la MISS WORLD. Haters jiandaeni kujinyonga
 
Sitti ndio MISS TANZANIA bora kuliko wote waliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…