chiguluka line
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 226
- 43
:flame::flame::flame:ashitakiwe kwa kudanganya umri pili arudishe mataji yote akianzia la kitongoji temeke na Tanzania....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ni mkali kwa shape ile tuipendao mie na sheikh Kipozeo yaani Miss Bantu zile nyama mashalllah alizowajalia Allah. Wewe penda hao wa Kizungu. Ila mimi na Sheikh kipozeo tunapenda wale wenye nyama ukiona unapata raha. Picha ile niliyoonyeshwa hapa JF wakati bi Sitti yuko kwenye graduation ndo mke haswaa ambao ni shape safi tuipendao wengine.
Kama bi Sity uko humu ni pm tafadhali.
Khaaah! We ni noma aiseee!Waliodanganya elimu waliitwa kihiyo. Kuanzia sasa wanaodanganya umri wataitwa 'sitti'. Wote kutoka temeke!!
Siti IQ yake ni ndogo mno kama babake Mtemvu huyu mzee alisomaga shule moja na mjomba angu anasema alikuaga mbumbumbu darasani hakua akielewa chochote a.k.a zuzu hihihiiiiii,uncle alishangaa sana aliporudi TZ maana anaishi nje, cku moja tunaangalia TBCCM anamuona Mtemvu eti mbunge wa Temeke,he.waz shocked xtremely shocked,akiniuliza mara kibao hv Tz kukoje?! Huyu nae zombi anawezaje kua mbunge eti msemaji na mwakilishi wa wananchi?! Ataongea nini huyu? Kama yupo humu huyo mzee au team yake bisheni basi nimwage ubuyu zaidi
Sitti ndio MISS TANZANIA bora kuliko wote waliopita.
Neema za Allah. Halafu unapewa wanawake 40 peponi na huku unapewa nguvu za wanawake 100 yaani nguvu za wanawake 60 zinabaki kwanza, peponi jamani kuzuri Allah Akbar, Allah tujalie tuwe ni wale wenye kuingia peponi. Ameen