Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Kafanya la maana sana, na huyo Lundenga kuanzia sasa awe makini na mashindano yake ambayo yameingia dosari kubwa vinginevyo yatakosa mvuto.

IMG-20141025-WA0070.jpg
 
Sema ni mkali kwa shape ile tuipendao mie na sheikh Kipozeo yaani Miss Bantu zile nyama mashalllah alizowajalia Allah. Wewe penda hao wa Kizungu. Ila mimi na Sheikh kipozeo tunapenda wale wenye nyama ukiona unapata raha. Picha ile niliyoonyeshwa hapa JF wakati bi Sitti yuko kwenye graduation ndo mke haswaa ambao ni shape safi tuipendao wengine.

Kama bi Sity uko humu ni pm tafadhali.

My foooooot
 
Kama ni kweli utakuwa ni uamusi sahihi na wakati sahihi kufanya hivyo.
 
Kafanya la maana sana, na huyo Lundenga kuanzia sasa awe makini na mashindano yake ambayo yameingia dosari kubwa vinginevyo yatakosa mvuto.

kwangu yashakosa mvuto siangalii tena labda wamtoe lundenga!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hoax and coax are all and might be possibly done,since she lied publicly,let her volunteerly crown off,she's a sort of the street tramps.
 
MISS WORLD watamfukuza, coz taarifa zishafika kuwa huyu kafoji vyeti....coz Kamati ya Miss Tanzania ni useless under Papa Hashim Lundenga, they are bribed na Mtemvu, so Miss World wakahonge sasa...Seriously this is a FRAUD....na Miss World they will chase her OUT...like a dog..or hata kabla hajaenda she will be NOTIFIED...!!!
 
Mi nahis passport yake izuiliwe
Maana data hizo zinaonesha uongo wa bila kujipanga
 
Ni kweli watafute mtu mwingine makini ludenga na kampuni yake wanyimwe kibali cha kuyaendesha kwangu haya mashindano hayana mvuto kabisa

kweli kabisa sina hamu nayo kabisaaa
lundenga alijifanya mjanja kamdhulumu patel maana mwaka huu mashindano yalianza mizengwe kabla hayajafanyika
 
Bibi bomba alimuua mtoto wake wa kumzaa kwa sh. Million 18
 

Attachments

  • 1414301391991.jpg
    1414301391991.jpg
    10 KB · Views: 319
Back
Top Bottom