log bianca
Member
- Sep 19, 2014
- 36
- 8
Inaonekana dada alijivua bt awa wasemaj wake wanataka funika kombe koz aku consult nao bt mwenywe alitaka kulivua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja...katoto kanaweza kushikwa na kitu kakafa kisa mama kamkataa na Mungu akamchukua. Yaelekea huyu Sitti anakiburi sana, nakumbuka alivyowakaripia waandishi wa habari mpaka basiKama kweli kajivua basi ataje umri wake sahihi sasa. Na kama ana mtoto amwombe msamaha kwa kumkana.
Hapa ndo naamini zile stori ati lundenga lazima amlundenguluwe kwanza huyu jamaa ni. Mharifu maana anatetea uharifu wa kughushi wa sitti bibi bomba na inaonekana wamekula njamaTujiulize Kwanini alitengeneza hicho cheti in the first place?
Inamaana alijijua kuwa yeye ni mshindi?
Hata kabla ya kushindana?
Damn lundenga upandishwe kizimbani hii ni dhulma na kuwanyang'anya fursa wanaostahili
Wadhamini msijitokeze kudhamini huyu mzee tapeli:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:lundenga na bibi yako
"Kwa mujibu wa chanzo changu cha karibu. Habari hizi ni za kweli 100%.... Huyu ni Sitti mwenyewe kaposti. Yes amelivua taji... Process haikutakiwa Kuwa Hivi. Kamati ya Miss TAnzania ilimwambia awaandie barua ya kukubali kuvua taji yeye kwa hasira akaenda kuposti facebook hiyo message..... Anyways, hata kama hajaomba msamaha Mie Naona tumsamehe Maana adhabu keshaipata na ataendelea kuipata kwa miaka mingi ijayo... Hii aibu atatembea nayo muda mrefu sana so ................. ili mradi taji limerudi naamini mshindi waE Pili atavishwa taji hilo some time next week ."
--- Toka kwa mdau instagram