Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mlivyo mkomalia huyu dada mpaka kaamua kuvua taji basi na muikomalie ccm 2015 iondoke madarakani.
Kamalizana na kesi na wananchi kwa kuachia taji. Sasa bado kesi namba 2 ya kudanganya umri wake na kufoji cheti. Kifungo chake ni miaka 3 jela.
Kama ni kweli Siti nitakupendaje!! Umeanza kunivutia sasa naona tunaelekea kuelewanq
Waliharibu kuja na cheti cha kuzaliwa kilichokuwa issued september,nani asiyejua uongo katika vyeti vya kuzaliwa Tanzania?yaani kama alitegemea kuja kugombea umiss kwa kucheat alitakiwa awe smart sana,mtu mwenyewe mwingi,ndo maana watu wanajua habari zakeHuyo Lundenga na huyo binti wote ni viazi!
Manake mpaka sasa nashindwa kuamini kama wao waliamini wangeweza kuushawishi umma wa Watanzania na hicho kimkutano chao na waandishi wa habari.
Badala yake ndo wakazidi kujichoresha tu.
Wangekuwa wana akili wangeuchuna na pengine watu wangesahau manake Watanzania nasi kumbukumbu zetu huwa ni fupi sana.
Enyewe bora kavua ila hayo maneno ya menigusha aisee
Siti IQ yake ni ndogo mno kama babake Mtemvu huyu mzee alisomaga shule moja na mjomba angu anasema alikuaga mbumbumbu darasani hakua akielewa chochote a.k.a zuzu hihihiiiiii,uncle alishangaa sana aliporudi TZ maana anaishi nje, cku moja tunaangalia TBCCM anamuona Mtemvu eti mbunge wa Temeke,he.waz shocked xtremely shocked,akiniuliza mara kibao hv Tz kukoje?! Huyu nae zombi anawezaje kua mbunge eti msemaji na mwakilishi wa wananchi?! Ataongea nini huyu? Kama yupo humu huyo mzee au team yake bisheni basi nimwage ubuyu zaidiHalafu juu ya hilo, alipoulizwa swali aelezee huo utofauti wa hizo nyaraka akasema eti hakuwa amejiandaa kuulizwa/ kujibu hilo swali!
Nadhani huyu Sitti atakuwa ndo Ms.Tanzania kiazi kuliko wote waliowahi kushikilia hilo taji.
Ni kweli hii?
Tatizo pia finger print zingemuumbua.Yaani hapa walilamba galasa,hata kama asipojivua taji,kule miss world watu watamchoma tuvya zamani vikibaki hata asingeanika rita wangeweza kuvujisha pia,heri angebadili jina halafu akanwe na wazazi wake hadharani
Huyu Sitti dharau dharau, ila sio mjanja wala hakuwa na akili za kujipanga kudanganya.
Sasa tumefurahia haswa karudisha taji la wa Tanzania.
Eti "ISIWE SHIDA SANA KWANI SITEGEMEI TAJI HILI KUISHI"
eeh umepatikana inaonyesha ulilitegemea sana kuishi sasa rudisha pesa za ushindi na acha kujidanganya tunajua pesa zimeenda bure za kuonga mlizitegemea mpate mara 1000 back kwa ufisadi.
Haya tulia ulale omba Mungu as na huko USA usije ukawa umeharibiwa na Polisi watakufungulia kesi.... Rudisha pesa usizile.
Tunasubiri na hili liwe onyo kwa wanaobeba jina la nchi yetu.
Waliodanganya elimu waliitwa kihiyo. Kuanzia sasa wanaodanganya umri wataitwa 'sitti'. Wote kutoka temeke!!
yani uko sahihu ndugu ni kweli kabisaYalishakosa mvuto zamaani nashangaa hao wanaotoa laki moja kwenda kutizama hayo makitu bora mngetoa msaada kwa yatima na wajane mkaongezewa dhawabu kwa Mungu.