Sikupata fursa ya kutazama shindano la Miss Tanzania.Hivyo kwangu hii ni habari nyingine ambayo sikuwa nikiifahamu kuhusiana na mlimbwende wetu Miss Tanzania Sitti A.Mtemvu.Pengine wapo baadhi kama mimi hawakufahamu huyu ''talk of the town'' kwa sasa ana ''kipaji'' cha uigizaji.Alishawahi kuigiza muvi na wanaijeria iitwayo ''LOST IN ABROAD'' Movie ilitolewa mwaka 2012 alipokuwa na miaka 21/23/16(inategemeana na unavyoamini)....
hiki ni kipande(clip) ya movie......cheki ''kipaji'' kingine cha Miss Tz...