Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
kwa nini unasema hivyo??colour...manners ama ?
Kaji bleach ukiangalia kwenye ile filamu na juzi mkorogo umemkubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini unasema hivyo??colour...manners ama ?
Lost in Temeke
Coming Soon
Cast
H. Lundenga
S. Mtemvu
A. Mtemvu
S. Kova
Kumbe ndo weweSiti ana sifa zote za kuwa MISS WORLD
Kumbe ndo wewe
Kumbe ndo wewe
........sponsored by???
,,,,anadai ni upepo tu...yatapita
Sitti Mtemvu a.k.a Commedian like her father. Babake kama mbunge wa Temeke anayepokea hongo kiwanda cha bia cha Serengeti Breweries akifumbia macho uchafuzi wa mazingira wa maji ya kiwanda kwa wakazi wa jirani. Alifika pale kwa wakazi wa jirani ya kiwanda akawapa namba fake ya simu wakazi eti wawe wanampa update ya uharibifu. Like faza lika dota.
Hiki ni kimbunga atapita nacho hiki, na hivi anashinda na Patel! analo mwaka huu. Miss mwenyewe sura iko hivi leo mpaka mwakani novemba ndio atuwakilishe miss world atakuwaje? na stress azipatazo anajuuuta kutumika kwa faida ya baba ake.
Tyta.Kwani habari hii mpya uliofukua itasaidiaje dispute iliyopo?Dispute iliyopo si kwamba Miss tanzania 2014 ni dumb ila kwamba alidanganya umri. Uvumbuzi wako unasaidia kuonesha kwamba huyu dada ni talented, kitu ambacho...hii kwangu habari mpya..sijui ninyi....