Sitti mtemvu - Lost in Abroad

Sitti mtemvu - Lost in Abroad

Familia y mtemvu imefunga mwaka kwa mafanikio makubwa.baba kwa kuuza watu wakawe watumwa arabuni mtoto kua miss tz mzee kupita wote kwenye karne hii
 
Kama kweli huu ni upepo mbaya ukipita hivihivi bila chochote,Lundenga takupigia saluti
 
Tyta.Kwani habari hii mpya uliofukua itasaidiaje dispute iliyopo?Dispute iliyopo si kwamba Miss tanzania 2014 ni dumb ila kwamba alidanganya umri. Uvumbuzi wako unasaidia kuonesha kwamba huyu dada ni talented, kitu ambacho
sidhani kama kuna mtu anaki-question.

.....haitasolve dispute...as long as she is now more of a celebrity...we get to know more of her ..both positive and negative...note:''she is now talk of the town''...
 
...hiyo ndio watengenezaji wa ulanzi nini??
Kati ya pombekali za kienyeji hizo unashauriwa kufunga suruari chini afu ndo unautwika ili just incase ..... isiwe so. Ndugu zake TEKA WIMA and company.
 
"Movie ilitolewa mwaka 2012 alipokuwa na miaka 21/23/16(inategemeana na unavyoamini)...."

This's 2 years ago, mwenzetu is aging backwards lucky her!,....I bet she sleeps with that white thing rapped around her so no one takes it away from her....
 
Hiv kumbe miss world ni nov mwakani mkuu?

Huyu wa mwaka huu anakwenda mwakani, wa mwaka jana ndio anawakilisha mwaka huu, sasa sijui atathubutu kupeleka hiyo sura? Na ukichanganya na huo mkorogo ndio basi tena.
 
Back
Top Bottom