tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mkangafu breweries........sponsored by???
Tyta.Kwani habari hii mpya uliofukua itasaidiaje dispute iliyopo?Dispute iliyopo si kwamba Miss tanzania 2014 ni dumb ila kwamba alidanganya umri. Uvumbuzi wako unasaidia kuonesha kwamba huyu dada ni talented, kitu ambacho
sidhani kama kuna mtu anaki-question.
Kati ya pombekali za kienyeji hizo unashauriwa kufunga suruari chini afu ndo unautwika ili just incase ..... isiwe so. Ndugu zake TEKA WIMA and company....hiyo ndio watengenezaji wa ulanzi nini??
Hiv kumbe miss world ni nov mwakani mkuu?
Kaji bleach ukiangalia kwenye ile filamu na juzi mkorogo umemkubali