Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi angalau! Kuongoza kupo hiyo hata usiotegemea wakudissapoint inaweza ikatokea wakakufanyia hivyo so ni muhimu kumaintain furaha. Ndugai na genge lake Sukuma Gang kitu gani bhana? Just relax my President! Sura yako ya furaha kama ya kwenye Kalenda zako tunaitaka!