Du!Mavi ongozi yetu bhana,yanajiwazia yenyew tu
Mwache mama awe mkali bhana hapo bado kula mabanzi tu ya kichwa na mgongoni kwa sisi wa uswazi take away tunaelewa alaf jobo nae alitaka kuzoea kiti wakati wenzake waliomtangulia walikaa miaka 5 mitano tu yeye anataka kukaa miaka kumi who which to whom is heBahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi angalau! Kuongoza kupo hiyo hata usiotegemea wakudissapoint inaweza ikatokea wakakufanyia hivyo so ni muhimu kumaintain furaha. Ndugai na genge lake Sukuma Gang kitu gani bhana? Just relax my President! Sura yako ya furaha kama ya kwenye Kalenda zako tunaitaka!
Ati bhana!Mwache mama awe mkali bhana hapo bado kula mabanzi tu ya kichwa na mgongoni kwa sisi wa uswazi take away tunaelewa alaf jobo nae alitaka kuzoea kiti wakati wenzake waliomtangulia walikaa miaka 5 mitano tu yeye anataka kukaa miaka kumi who which to whom is he
Unaweza kutuwekea na clips zingine za kuanzaia baada ya Job kuachia ngazi!Labda ukali wa kuhamasisha ufisadi🐒🐒🐒View attachment 2105025