Sio kweli mbona mimi langu halijajengewa kwa nakshi wakati ni mwema?Ukiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Likijengwa kwa nakshi na malumalu ndo utafufuka?? Au ndo hautaoza?¿???Ukiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Kwani unaandika ukiwa kaburini au kaburi lako?Sio kweli mbona mimi langu halijajengewa kwa nakshi wakati ni mwema?
Kumbe nachat na mzimu eeh! Tunaojua wema wako ni sisi wala sio weweSio kweli mbona mimi langu halijajengewa kwa nakshi wakati ni mwema?