Siungi Mkono Kujengea makaburi

Siungi Mkono Kujengea makaburi

Wewe ungefurahi endapo mnachimba kaburi mkafukua mifupa ya ndugu yako? Kaburi likijengewa unaweka alama ya kuwa binadamu kazikwa hapo na paheshimiwe
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
 
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.

Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Kujengea makaburi kuna faida,nayo faida kuu ni kumtambulisha aliyezikwa hapo,hata vizazi na vizazi vitafika kuona ndugu yao aliyezikwa hapo, pia kuna fanya kaburi lisipotee,kuna makaburi watu wamezikwa miaka ya 2000 but mpka leo kaburi halijulikani lilipo.likijengewa kwa juu inatosha,but kujengea kwa ndani zile ni mbwembwe tu na hazina faida
 
Kujenga makaburi ni uharibifu wa mazingira na rasilimali ardhi. Ile ardhi inatakiwa kutumika kwa matumizi mengine kama kilimo, ufugaji n.k. Watu wa zamani wangekuwa wameyajengea makaburi ya wapendwa wao leo tusingekuwa na hata kipande cha kujenga nyumba. Kifo ni utaratibu wa kawaida wa ecosytem. Mwili unaoza na mimea inachanua juu ya kaburi lako kwa kupata mbolea.
Asante msomi, ushauri wako tutauzingatia.
 
Ulipata kazi sababu Kuna nafasi,waambie vijana waliomaliza chuo na waliofiwa na wazazi wao wakajengee makaburi basi
Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
You call angel for help
You call God for help
You call ancestors for help


Jamii zinazojua hili swala huwa na utamaduni wa kufanya prayers &ritual at cemetery areas.

So kuweka kumbukumbu ktk maeneo waliozikwa ndugu zako ni muhimu Sana, so kujengea kaburi ni good idea na iendelee kuepo .
 
Back
Top Bottom