Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Ole wako gari lizime wakat tunakusafirisha nitakuchapa wewe 😁Mi niliyekufa nitakuwa sina habari 😀
Kujengea makaburi kuna faida,nayo faida kuu ni kumtambulisha aliyezikwa hapo,hata vizazi na vizazi vitafika kuona ndugu yao aliyezikwa hapo, pia kuna fanya kaburi lisipotee,kuna makaburi watu wamezikwa miaka ya 2000 but mpka leo kaburi halijulikani lilipo.likijengewa kwa juu inatosha,but kujengea kwa ndani zile ni mbwembwe tu na hazina faidaHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Uongo Mtupu.Ukiwa mwema duniani kariburi lako litajengewa kwa nakshi na marumaru, na kupendwa lkn ukiwa wa hovyo kaburi lako litapigwa hadi viboko.
Asante msomi, ushauri wako tutauzingatia.Kujenga makaburi ni uharibifu wa mazingira na rasilimali ardhi. Ile ardhi inatakiwa kutumika kwa matumizi mengine kama kilimo, ufugaji n.k. Watu wa zamani wangekuwa wameyajengea makaburi ya wapendwa wao leo tusingekuwa na hata kipande cha kujenga nyumba. Kifo ni utaratibu wa kawaida wa ecosytem. Mwili unaoza na mimea inachanua juu ya kaburi lako kwa kupata mbolea.
Kuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app