Picha ya Rais kuwepo kila ofisi inasaidia nini? na unaweza kuchukuliwa hatua au kupoteza kazi kwa kutoitundika, Mwenge nao vp, Bendera ya Taifa?Kujengea ni makumbusho?unamkumbusha nani?unapo ona kabri la babu yako aliyekufa miaka 50 ukumbusho huo unakusaidia nn?kufa ni kufa
Kujenga makaburi ni uharibifu wa mazingira na rasilimali ardhi. Ile ardhi inatakiwa kutumika kwa matumizi mengine kama kilimo, ufugaji n.k. Watu wa zamani wangekuwa wameyajengea makaburi ya wapendwa wao leo tusingekuwa na hata kipande cha kujenga nyumba. Kifo ni utaratibu wa kawaida wa ecosytem. Mwili unaoza na mimea inachanua juu ya kaburi lako kwa kupata mbolea.Hata siku ukifa wasijenge kaburi lako etii!!
Adui Ujinga na Umasikini bado ni tishio kwa Taifa letu.
Ayo mambo ya picha ni mambo ya kiserikali na ole wako usiiweke ofisini mwako utaona kitakachotokea hpa tunaongelea ujengaji wa makaburi ambao hauna faida yoyote ile kwa jamii zaidi ya watu kufanya ushirikinaPicha ya Rais kuwepo kila ofisi inasaidia nini? na unaweza kuchukuliwa hatua au kupoteza kazi kwa kutoitundika, Mwenge nao vp, Bendera ya Taifa?
Acha kutupiga kamba, walizikwa kwenye mapango tu Mwanzo 25:9. Ungesema baadae walikuja kujengewa vizur ungeelewekaungejua wazee wa zamani ,manabii na watumishi wa Mungu wakina Ibrahimu na Jacobo walivyozikwa ungefuta huu uzi wako mapema sana
Umejitekenya hlfu mwishoni ukacheka mwenyewe ...Acha kutupiga kamba, walizikwa kwenye mapango tu Mwanzo 25:9. Ungesema baadae walikuja kujengewa vizur ungeeleweka
Nilikuwa namkumbusha mleta mada, serikali ina mambo yake na jamii zina mambo yao sasa wewe kama ukijafanya mweu uache kuyatekeleza, kwa hayo makaburi ni mambo ya kujiliwaza tu, kuna wanaendesha msiba kwa mamilioni mengi tu na kuna wengine lakin 5 tu zinatosha, na makaburi linajengewa kulinda heshima yenu kama familia.Ayo mambo ya picha ni mambo ya kiserikali na ole wako usiiweke ofisini mwako utaona kitakachotokea hpa tunaongelea ujengaji wa makaburi ambao hauna faida yoyote ile kwa jamii zaidi ya watu kufanya ushirikina
na makaburi linajengewa kulinda heshima yenu kama familia. Heshima gani? Mashindano ya ajabu ajabu!Nilikuwa namkumbusha mleta mada, serikali ina mambo yake na jamii zina mambo yao sasa wewe kama ukijafanya mweu uache kuyatekeleza, kwa hayo makaburi ni mambo ya kujiliwaza tu, kuna wanaendesha msiba kwa mamilioni mengi tu na kuna wengine lakin 5 tu zinatosha, na makaburi linajengewa kulinda heshima yenu kama familia.
Utaki wajengewe au huna hela ya kuchangia?
Mtoto mdogoKuna kipindi nli stuck kinoma mambo yakawa magumu (ugumu ambao hauelezeki) Aunty yangu akanishauri "nenda kafanye usafi kwenye makaburi ya wazazi wako uombe baraka zao" nlikua nna mda mrefu sana sija enda huko , basi nikaenda huko nikafanya usafi nikarudi zangu town mda si mrefu nikapata kazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa una shida kwenye brain...
Kubadilisha jina ndiyo jibu...
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata kuwekewa yale masanduku Kwa wakristo wenzangu ni upumbavu, eti utamsikia mtu mm nikifa lazima niwekewe sanduku ili nisioze/nisiliwe na wadudu foolish kabisa, amkeni wapumbavu nyinyi.Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
basi kajenge nyumba ya "buibui"Huwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
Nimewaambia ukweliMzee umefoka 😀
Hahaha af anakuja kulalamika hapa ataufute pesa hawa ndio wanakuja kusumbua wakufa michango inakuwa migumu msiba unakuwa mzito mpaka ukiisha unasema ewaaaaHana hela [emoji23][emoji23]
una hekma saana wwHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
haina maana kabisaHuwa sielewi nini faida ya kujengea makaburi ingawa Huwa nashiriki. Ndugu wanagombana kisa michango, tunaingia gharama hadi kukopa kwa ajili hiyo.
Hakuna thamani inayoongezeka baada ya kufukiwa.
[emoji23][emoji23] aiseee!Likijengwa kwa nakshi na malumalu ndo utafufuka?? Au ndo hautaoza?¿???