Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

We umesema wafurushwe bila huruma.. sio jambo zuri.. nao wana haki kwenye hii nchi.

Ni kweli hawakufanya shughuli zao kwa utaratibu ila sababu haswa ni hao hao serikali kukosa mipango ya mapema.

Kwahiyo sioni haja ya kuanza kuwaumiza hawa machinga
Soma vizuri uepewe hoja yake

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli umejenga hoja yako vyema. Lakini hebu rujiulize swali moja kubwa Kati ya machinga, na wale waliovamia hifadhi kujenga ama kufuga ama kulima kundi gani ni kubwa zaidi?

Tuanze hapo Kwan za
 
Hoja gani ya kishetani hii, yet unataka tukujibu kwahoja Ili na si utuingeze kwenye list ya ushetani wako
 
Duh; mkuu naona kuna ukweli ndani yake
 
Sawa Mr roho MBAYA
 
Ni kweli umejenga hoja yako vyema. Lakini hebu rujiulize swali moja kubwa Kati ya machinga, na wale waliovamia hifadhi kujenga ama kufuga ama kulima kundi gani ni kubwa zaidi?

Tuanze hapo Kwan za
Wafugajina wakulima ni wengi Sana mkuu ((~80%). Wafugaji kwa miaka can mingi wameporwa mifugo yao. Kuna mwaka waliambiwa wahamie mikoa mingine wakapoteza Sana mifugo yao
 
Issue ya Machinga inahitaji utafiti kutoka kwa wabobevu sijui wanazuoni wamefikia hatua gani?
Idadi ya Machinga inaongezeka kila siku lazima kuwe na mpango madhubuti lazima watungiwe Sheria.

Ili nchi iendelee inatakiwa kuongeza uzalishaji ili tuweze kuuza nje je,machinga wanazalisha au wanakuza biashara za wazalishaji toka nje ya nchi?

Kwani ni mikoa mingapi yenye matatizo ya Machinga?

Sababu ya Machinga kufanyabiashara kwenye maeneo yasiyo rasmi ni ipi?
 
Naunga mkono hawa ni waharibifu tuu hakuna namna nyingine ya kuwapa kichwa
 
Huyu amekazia tu huu ukweli
 
Nimefwatilia huu Uzi hakuna aliyeweza kukujibu Hadi sasa. Hebu tuendelee kungoja huenda atajitokeza
 
Acha roho mbaya.. Sasa unataka wakale wapi?

Binadamu kusaidiana.. usifurahie anguko la mwenzako. We unadhani hao machinga wasipo settle, utaishi kwa raha?
Na mvuvi haramu nae akale wapi mnapo mnyang'anya nyavu zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…