Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu umeshiba siyo?Ni mpumbavu
Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge.
Hii imekaa vizuri sana.Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya
Neno moja kwa huyu mwamba
MATAGA yakiona nguvu ya umma inashinda huwa yananuna.Ni mpumbavu
Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much
Tatizo hujui nguvu ya umma, hakuna kitu umma wakiamua wanashindwa. Serikali siku zote huogopa nguvu ya umma.Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much