Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much
Tulia wewe maiti wagonjwa wawaonyeshe kuwa wamepona
 
Kila mara wanasema Mzee Odinga anahamasisha vijana waandamane kupora mali - haya sasa mmemuoma Odinga akihamasisha mstari wa mbele.

Nasikia nyumba wa wabumge waliopiga kura ya ndiyo zinachomwa moto
 
Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much
Unaifahamu nguvu ya umma?
 
Back
Top Bottom