Siwa ya Bunge Kenya yabebwa na waandamanaji

Baada kuvamia bunge kula vyakula vya wabunge kijana mmoja shupavu anaoneka kuondoka na siwa ya bungeni Kenya
Neno moja kwa huyu mwamba
 
Hatuwezi kusema ni upumbavu bali ni ushujaa wa aina yake, kama walipanga kuelekea bungeni basi haya ndiyo matokeo yake. Tafsiri yake ni kwamba bunge limepinduliwa hata kama wataendelea na vikao vyake litaonekana ni nyanya pusa. Kwanza security ya bunge hilo ni dhaifu. Tz hakuna atakayeweza kuandamana kwenda bungeni na kisha kuingia bungeni na kubeba siwa, atamalizwa na kuteketezwa njiani kabla ya kuingia viwanja vya bunge. Huu ni udhaifu, siku nyingine wataandamana kuelekea ikulu na kwenda kupindua serikali. Demokrasia yao imezidi mno, wanasema ni haki ya raia na ipo kwenye katiba yao. Siku wakitaka kuandamana kwenda ikulu wawavumilie hivyohivyo ili kulinda katiba yao. Hii sasa too much
 
Ndio unachojidanganya unaandika andika as if unaandikia watoto wa primary wasiojua issue za ulinzi na usalama unaishi maisha ya ndotoni sana .. wewe
 
Tatizo hujui nguvu ya umma, hakuna kitu umma wakiamua wanashindwa. Serikali siku zote huogopa nguvu ya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…