Siwaelewi Yanga katika uchaguaji wa kocha

Kwangu mimi sio lugha ila yule kocha waliomleta ambaye alifukuzwa timu fulani ambayo hakuifikisha kokote zaidi kupigwa tu kila kona.
 
Yule kocha wetu wa timu ya Taifa Mbrazil mbona alikuwa anazungumza kireno. Wakati wachezaji wetu wanazungumza Kiswahili/English
Timu ilikuwa inafanya vizuri
Punguza wenge Na ushabiki
Yule mbrazil alikuwa anazungumza pia kiingereza kiasi cha kueleweka..
 
Washapigana huko.
Wachezaji hawaelewani na kocha.

Lugha gongana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…