Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Kwangu mimi sio lugha ila yule kocha waliomleta ambaye alifukuzwa timu fulani ambayo hakuifikisha kokote zaidi kupigwa tu kila kona.Hivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache wanaongea kifaransa, vipi hapa wataelewana vizuri kupitia wakalimani ambao nao ni wachezaji?
Hivi kweli waliwaza vyema katika hili?
Wakipata matokeo mabovu wataanza kutafuta wa kymlaumu.