TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,336
- 4,653
Mapema kabisa tayari jinamizi lakuaanza kuchafua Tume ya uchaguzi kushindwa simamia wajibu wake vizuri limeanza onekana.
Tayari kuna Mgombea ubunge na mwingine Diwani ambao ni halali kulalamika kuchukuliwa fomu zao kwa watu wasiojulikana.
Kwa upande wangu naona ni makosa makubwa hasa kwa wakurugezi wanaogawa hizo fomu kwa kuamini kila mtu anae fika na kujitambulisha yeye ni Mgombea kupitia chama flani kisha kumpatia fomu bila kuhakikisha ni muhusika halali.
Huwa najiuliza hivi Vitambulisho vya taifa tulihimizwa kwajili ya usajili wa namba za simu tuu au twaeza kutumia kwenye maswala muhimu kama haya ya utambuzi ?
Swala la muhusika halali linaeza kutambuliwa kwa njia ya kutumia kitambulisho cha Taifa au namba ya Nida ya muhusika kuendana na barua ya chama kwa wateuliwa wao.
Kuchukua namba yasimu pekee na kutaja jina lake kwa mdomo iwe ni ziada baada ya kuhakiki kwa njia ya kitambulisho cha taifa .
Nikiamini Hakuna mgombea hana namba ya simu hivyo lazima atakuwa amesajili namba yake ya simu kupitia namba ya Nida au kitambulisho cha Taifa hivyo hivyo Lazima awe na kitambulisho cha Taifa.