Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sio mzalendo kwa nchi yako kabisa. Tunaposhindana na taifa jingine tofauti zetu za hapa nyumbani unatakiwa kuzisahau. Wakirudi ndio uziendeleze!Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
kabla hajaiombea ushindi aiombee mishaharaHuwaombei Kwa nani?
Kama Una uwezo wa kuiombea timu ushindi iombee timu yako
Mkuu mashabiki wao wanao huo uzalendo?We sio mzalendo kwa nchi yako kabisa. Tunaposhindana na taifa jingine tofauti zetu za hapa nyumbani unatakiwa kuzisahau. Wakirudi ndio uziendeleze!
Umeonekana una uchungu sanaBila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
Sana yaani.Umeonekana una uchungu sana
Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
Pilipili usiyoila inakuwashia nini wewe Kolowizard?Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
Kuna mtu amekuomba uwaombee? Au ni kuwashwawashwa kwako tu.Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
Duuh...! Watu kama mnasoma hivi majibu. Kweli kama ana nguvu ya kuombea na akasikiwa,basi aiombee timu yake ishinde ligi kuu,iifunge Azam. Lakini ndio tayari hana uwezo huo ndio maana tayari timu yake imekung'utwa kote koteHuwaombei Kwa nani?
Kama Una uwezo wa kuiombea timu ushindi iombee timu yako
Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
AaahaaaaaaaHuwaombei Kwa nani?
Kama Una uwezo wa kuiombea timu ushindi iombee timu yako