Siwaombei Yanga ushindi huko kwa Madiba

Vikintu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2021
Posts
2,051
Reaction score
3,162
Bila kupepesa macho, naomba Yanga wafungwe goli za kutosha huko South. Sababu ni kuwa wametukebehi sana sisi tusiowashabikia baada ya kaushindi kao ka juzi.
 
We sio mzalendo kwa nchi yako kabisa. Tunaposhindana na taifa jingine tofauti zetu za hapa nyumbani unatakiwa kuzisahau. Wakirudi ndio uziendeleze!
 
Mkuu mashabiki wao wanao huo uzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…