Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

Siwashauri muoe wanawake wasomi, jana nimelazwa na njaa na mke wangu, hawajui kubembeleza

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwema watu wa mapenzi?

Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.

Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.

Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.

Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?

Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.

Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.

Asante.
 
Back
Top Bottom