Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utabembelezwa na mama yakoNilitaka anibembeleze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utabembelezwa na mama yakoNilitaka anibembeleze
Alivuta mpaka na mdomo kama wabibi yake [emoji23][emoji23][emoji23] mke naye mtambo wakati wanaudhi sana, mtu anasusa Asubuhi kazini jioni utasikia siku ya pili sijala unataka kuniua njaa? Wakati huo huo msosi umejaa unafanya kazi ya kupashaSasa hapo usomi na wewe kususa chakula vinausianaje? Ebu rudi home ukale msosi ukale na mpishi huko, mwanaume mzima una gubuu[emoji23]
Umbembeleze wakazi gani, kama mnaweza kumaliza mnamaliza chote na vyombo vinaoshwa, Asubuhi unaamka saa 2 unainjika njuguAcha tabia za kususa n za kike hzo, at unazra kula teh kisha unataka ubembelezwe [emoji1787][emoji1787] wacha hzo mambo basi
Me s msomi lkn sbembelez mtu [emoji41]
Umbembeleze wakazi gani, kama mnaweza kumaliza mnamaliza chote na vyombo vinaoshwa, Asubuhi unaamka saa 2 unainjika njugu
Mahusiano ni zaidi ya kutambua hilo mkuu
Ukiwa mtu wa kukaa home na kuchungulia chungulia jikoni wife anakuona tu kama jiko lake. Kaa na washikaji uitwe majina matamu ili urudi home kula. Sasa wewe umechuchumaa chini kwenye floor mbele ya sofa unazungusha zungusha kirimoti aisee wife anakuchoka fasta. Acha niwahi kwa bibie Victoire naona sms za mapenzi zimezidi nisije nuniwa bureKwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University pale uingereza ila cha moto nakipata.
Jana usiku bana tulitofautiana kauli kidogo na mwenzangu, me nikaudhika nikadhira na kula msosi wake aliopika.
Nilidhira makusudi ili labda anibembeleze lakini wapi ndio kwanza mwenzangu akawa anachat na ndugu zake huko watsap wanapeana umbea wa huko kwao wanacheka, asubuhi nimeamka na ubao wa kufa mtu nikijua atanibembeleza ila hakufanya hivyo, nikaona nisije kufa kwa nenge kizembe nikaenda kwa mchepuko wangu mmoja hivi mama ntilie.
Amenihudumia vizuri hadi raha, mpaka sasa bado niko kwake, wife the only thing kaniuliza this evening ni kuwa utakula au hutokula ili nisijisumbue kukupikia chakula kikaharibika kama jana?
Bado niko kwa mchepuko till now nawaza whether nirudi home or not.
Asee wanawake wasomi ni pasua kichwa sana,siwashauri Muwaoe kabisa.
Asante.
Lower your expectations. Unasubiri kubembelezwa kaka!?!?!Kwema watu wa mapenzi?

Kuna ukweli ila wengine ni tabia ya mtu tu Nna Ndugu ameoa Phd ndani yeye kaishia la 4 mpaka sasa sijaona mwanamke mwenye heshima kama yule na vile msomi anajua kumsoma mtu jinsi gani areact ni mtu asiye na makuu asee katika wanawake 1000 Tz unapata mmoja kama yeyeMkeo msomi Ila hayupo jamiiforum aisee Basi bado sio mjanja maana najua usingepost..me mke Wangu hajasoma Yuko vzr Kuna point uko sahihi...wasomi Wana dharau sana
Hapo chacha😂😂😂😂😂😂huna hela halafu umuendeshe km gari bovu
tafta cha kumzidi huyo msomi alafu ulete mrejesho huku
Usiwasingizie wake zetu wasomi. We utakuwa ni mziwonder na umedekezwa sana Mkuu[emoji1Malaria
NakaziaUsiwasingizie wake zetu wasomi. We utakuwa ni mziwonder na umedekezwa sana Mkuu[emoji1]
😂😂😂😂😂😂😂eti mchepuko mama ntilieumeoa msomi wa birmingham halafu mchepuko mama ntilie
kudhira= kuzira
kila mtu anapata wa kuendana nae
Tena kajilaza haswaaaa eti kaenda kwa mchepuko wake mama lisheKumbe chakula alipika ni wewe ndio ukasusa.
Hapo ulijilaza njaa mwenyewe