Tunasubiri ya diamond
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
Bustani ya hiyo nyumba na hilo Dish linaonekana ni nyumba ya 5yrs hivi toka imejengwa...amenunu
Et mpaka achukue tuzo ya BET ndio itaisha
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta
Ngoja amalize kujishaua nije na yangu na mie
Binamu unajengaa nawe!!?na yako ina swimming pool
Nyumba mpya naona kuna mti mkubwa sana ambao utakuwa na zaidi ya miaka mitano hivi hapo. Afu pia thamani ya hiyo nyumba haiwezi kufika huko, hiyo ni chini ya 100mil. Labda akijumlisha na hela za gari zinaweza fika 98mil.
Wasanii wa Tanzania uongo unawasumbua ila wakifa tunajua ukweli wote. Yule mwenye Bilioni benki hadi leo hajamaliza jenga huyu nae eti nyumba mpha
Thamahani wewe ni She/He?
Tatizo letu cc watanzania hua hatuishiwi na majungu.hao wanaoponda utakuta hata kitanda hawana.kuanza kuchunguza mti,sijui dish huo ni umbea.fuata mambo yako.hongera sana kwako Ney.
Sent from my BlackBerry using JamiiForums
Thamahani wewe ni She/He?