Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Siwema atoa machozi ya furaha baada ya kuona nyumba mpya ya Ney

Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta

Mkuu haya madishi yanatumika, hata mimi ninalo.
 
Ngoja amalize kwanza kujishaua na mm nije na yangu,hili ndo jiji la dar bhana
 
Jamani nilisikia vibaya,maana kwenye kipindi cha take one cha zamaradi,diamond alisema anamijengo kazaa tz,and account yake ina more zan B! Sasa mnaposema hata house moja halijaisha napata shida!

Au ndo yale mambo ya Wema na ule mpiramidi wa 400m? Wasanii acheni kutupiga changa la macho!
 
Hongera kwake but hiyo nyumba wameinnovate au ? coz naona dish la TV ambalo kwa sasa hayo hayatumik sasa cjui alilinua wakati ameanza kujenga au alilikuta lipo so inabid aliache kama alivyolikuta

Acha ushamba utachekwa mkuuu, kakwmbia nan hayatumik? Haya n bora kulko hata hvo unavovtetea ww,satelite ndio habar yao mkuuu


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Nyumba mpya naona kuna mti mkubwa sana ambao utakuwa na zaidi ya miaka mitano hivi hapo. Afu pia thamani ya hiyo nyumba haiwezi kufika huko, hiyo ni chini ya 100mil. Labda akijumlisha na hela za gari zinaweza fika 98mil.
Wasanii wa Tanzania uongo unawasumbua ila wakifa tunajua ukweli wote. Yule mwenye Bilioni benki hadi leo hajamaliza jenga huyu nae eti nyumba mpha

Maisha mipango..ya ngoswe muachie ngoswe ya mazoea muachie mazoea
 
Hongera Nell kama ni kweli ila uangalie unaweza usivifaidi hivyo vyote kama hautatulia ila ukitulia uta enjoy maisha na kuepuka skendo
 
Tatizo letu cc watanzania hua hatuishiwi na majungu.hao wanaoponda utakuta hata kitanda hawana.kuanza kuchunguza mti,sijui dish huo ni umbea.fuata mambo yako.hongera sana kwako Ney.

Sent from my BlackBerry using JamiiForums

Akuna Cha Majungu Hapo Mkuu, Ebu Itokee Siku Hashim Thabeet Aje Atuoneshe Nyumba Yake Then Aseme Ina Thamani Ya Mil 200 Uone Kama Kuna Mtu Atabisha, Na Akuna Atakayebisha Kwasababu Wote Tunaelewa Kazi Yake Inamruhusu Kutumia Iyo Pesa, Ila Inapotekea Mtu Kama Ney Wa Mitego Anakuja Na Kutuambia Kajenga Nyumba Kwa Mil 170 Lazima Tubishe, Swala Lipo Wazi Mziki Wa Ney Ujafikia Kumlipa Kiasi Cha Kujenga Nyumba Ya Thamani Iyo, Labda Kama Anavyanzo Vyake Vingine Hapo Sawa, Ila Sio Music.
 
Nyumba ya kawaida kwa kweli, sema kwa wasanii wetu ndo wanaona penyew,coz wengi wao wana dhik sana kwao, na wala nyumba hawana

Ila nimependa sana design ya ndan, pametulia sana bhana, pako classic ila nje kawaida tu
 
Back
Top Bottom