Siwema wa Ney awekwa jela miaka miwili kwa kesi ya kutukana

hivi kumwambia hasimamishi kwa mda mrefu ndo kamtukana jamani? hvi wanaume wa dar mpoje? mkiambiwa hamsiamishi mnawashitaki wadada wa watu sema tatzo alimwambia kwa njia ya mtandao ila angemwambia live wangepigana tu,
 
Wewe ushazoea kupiga wahaya wenzio Tandika hujui blackmail inakutesa vipi
 
Ikumbukwe kua kumtukana mtu matusi ni kosa la kukupeleka jela,wanawake wengi sana hua tunawasamehe tu pasi kuwafikisha ktk vyombo vya sheria kwa kuwahurumia pasi wao kujua,ila wana tatizo hli la kujirengesha mimba akijua ataolewa na ikienda tofauti wanaanza kukutukana matusi kwa msg,na si lazima kua amezaa tu,mahusiano si lazima yalete ndoa na ikiwa tofauti wanawake huishia kumtukana mwanaume matusi mpaka basi,hapo amehukumiwa ktk haki kwa makosa ya kumtukana mtu
 
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao.

Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa njia ya mtandao mlalamikaji ambaye anafahamika kwa jina la Deo.

Akizunguza na kipindi cha Jahazi, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nay Wamitego alisema ‘napambana kile nitakachoweza kuangalia kama kunauwezekano wa kumpa msaada’.

“Kuna vitu nafikiria kuvifanya ili kujaribu kumsaidia, baada ya kupata hizi taarifa kidogo kama siko sawa hivi. Ni mzazi mwenzangu mimi nay eye tulikaa muda mrefu, napambana kile nitakachoweza kuangalia kama kunauwezekano wa kumpa msaada mwingine kwa njia yeyote ili asiwe kwenye mazingira ambayo tayari ameshawekwa. Anayemshtaki najua anaitwa Deo, jina jingine silifaham,” aliongezea.

Nay na Siwema walifanikiwa kukaa kwenye mahusiano kwa kipindi kirefu na kufanikiwa kupata motto mmoja, Curtis kabla hawajachana na kila mtu kushika njia yake.

Chanzo: Muungwana
13103413_10205953954437931_2551613487622111792_n.jpg
 
Mmmmmmh mitusi nomaaa
 
Bwana Jela atainjoi sana,utamu wote huo ameletewa yeye bila hata kuuhangaikia!
 
Back
Top Bottom