Siwema wa Ney awekwa jela miaka miwili kwa kesi ya kutukana

Siwema wa Ney awekwa jela miaka miwili kwa kesi ya kutukana

Huyo siwema naye alimtapeli huyo baba, akawa anamdai matumizi makubwa kila siku mara akadai anunuliwe gari ili asimwambie mkewe kuwa anatembea nae, sasa baba akachoka akaamua kumfikisha mahakamani. Akitoka huko atajifunza kula pesa ya jasho lake,
Kumbe, hatari!,anastahili lakin sembuse kipindi mke anakosa mahitaji muhimu yeye asiye halali anapata na bado analeta ngepe,ngoja aonje nyota ya jiwe.
 
Alimpiga picha za utupu wakiwa wanakula maraha
.Kisha akawa anamtishia kuwa ataziweka mtandaoni kama atamfungulia duka la nguo na kumnunulia gari.Deo akawa kila akitimiza moja anapewa jingine akaona isiwe tabu akapeleka kesi police.
Yawezekana......!
 
Itakuwa Jambo la busara sana jela miaka miwil ni mingi sana
Angekaa miaka miwili jela iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, utarekodije video ya ngono na mtu halafu uitumie kama fimbo ya kumchapia ili atimize matakwa yako? Acha ake jela kwani jela si ziko kwa ajili yetu sie watu?
 
Sass Ney badala ya kwenda kutoa msaada Mwanza anaongea radio Dar, au kujikweza watu wamuone mtu WA maana sana
inapiga propaganda tu, anataka kusema kuwa muda wote wa kesi alikuwa ajui kinachoendelea ?
 
Alimpiga picha za utupu wakiwa wanakula maraha
.Kisha akawa anamtishia kuwa ataziweka mtandaoni kama atamfungulia duka la nguo na kumnunulia gari.Deo akawa kila akitimiza moja anapewa jingine akaona isiwe tabu akapeleka kesi police.
Kumbe huyo siwema ni mshenzi
 
Angekaa miaka miwili jela iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hizo, utarekodije video ya ngono na mtu halafu uitumie kama fimbo ya kumchapia ili atimize matakwa yako? Acha ake jela kwani jela si ziko kwa ajili yetu sie watu?
hii kitu alifanya benzema kwa valbuena, halafu akataka apewe pesa, kesi inaendelea
 
Huyo Ney kwa statement yake tayari anaonekana elimu hana, ni mswahili mshamba tu anayetafuta umaarufu wa ushamba na unjinga. Angalia alichosema ndipo ufahamu ni taifa la watu wenye ufahamu wa aina gani lilikuw alinajengwa na awamu ya mswahili. TISS, tume ya uchaguzi na majeshi ya usalama, ninaomba mlihurumie taifa la Tanzania kwa kuepuka kumpa uraisi mswahili tena. Nchi hii ilikuwa imekufa kabisa kwa kila kitu.
ubaya ni pale unapovua nguo hadharani tena mbele za watu harafu wewe ndio unawaita watu hawana akili!!? hii ipo TANZANIA TU
 
Hili jina kweli halina wema. Vituko vituko, wizi maji, wizi wa umeme, blackmail, kuishi kwa kutegemea mapedeshee. Job true true.
 
Just imagine umelipiga Le mbululaz,lilivyo kubwa alaafu una li blackmail-lazima atakunyonga kwa mikono yake
 
ubaya ni pale unapovua nguo hadharani tena mbele za watu harafu wewe ndio unawaita watu hawana akili!!? hii ipo TANZANIA TU

Hakuna mtu aliyeenda shule ataongea statement ya kijuha vile. Ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom